Amelaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu na amfanyanye mwanadamu kuwa kinga yake.Nadhani wanaccm laana hii inayosemwa na maandiko matakatifu ndo imewavuruga akili.Mtu unakataa mfumo imara wa uwajibikaji uliotaka kuwekwa kupitia katiba mpya,unaweka imani katika utashi wa mtu,mtu anayeweza badirika any time,mtu anayeweza kufa any time,mtu ambaye muda wake kisheria wa kukaa madarakani hauzidi miaka 10,yaani sijui kwa nini wakati mwingine najikuta tu nawachukia wanaccm automatic?Toka serikali hii umemsikia nani kabeba fedha kwenye viroba???? usilete mifano ya mwaka 2015 kurudi nyuma tunazungumzia serikali hii ambayo muda wake ni mpaka 2020 wakichukuliwa hatua mnakuja hapa na Id fake kuja kupinga na kusema wameonewa tukubali tukatae wapga deal mko na hali mbaya sana mmebanwa kila kona na swala la Gesi limeshakwisha na Dangote mwenyewe kasema siku ile kuwa hakuna tatizo na analeta trucks 600