ujumlishaji wa kura unaenda taratibu sana, habari za kuaminika (toka kwa mnyika) bado hawajafika hata 20% ya kura zote zilizopigwa
baada ya zengwe na mvutano mwingi, mnyika akatoa saa moja kiravu awe ametumwa mwakilishi au yeye mwenyewe aje royola.
Msimamizi wa uchaguzi anasongwa na polisi hawafanyi lolote (anaimbiwa mwizi mwizi mwizi)
Kimsingi kiravu kaleta watu wanne wa ziada na kukubali kubadili system yao ya kujumlisha kura, sasa hakuna cha computer wala nini, wameanza kujulisha tena, msimamizi alitaka kuondoka kidogo achapwe! kuna kila harufu ya vurugu kama mnyika hatashinda, idadi ya watu sasa ni kati ya 300 - 350, ngoma, tarumbeta na vuvuzela ndo zimetamali