Elections 2010 Utaratibu wa kuhesabu kura za mnyika wabadilishwa!

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
ujumlishaji wa kura unaenda taratibu sana, habari za kuaminika (toka kwa mnyika) bado hawajafika hata 20% ya kura zote zilizopigwa

baada ya zengwe na mvutano mwingi, mnyika akatoa saa moja kiravu awe ametumwa mwakilishi au yeye mwenyewe aje royola.

Msimamizi wa uchaguzi anasongwa na polisi hawafanyi lolote (anaimbiwa mwizi mwizi mwizi)

Kimsingi kiravu kaleta watu wanne wa ziada na kukubali kubadili system yao ya kujumlisha kura, sasa hakuna cha computer wala nini, wameanza kujulisha tena, msimamizi alitaka kuondoka kidogo achapwe! kuna kila harufu ya vurugu kama mnyika hatashinda, idadi ya watu sasa ni kati ya 300 - 350, ngoma, tarumbeta na vuvuzela ndo zimetamali
 
Baada ya CCM kuzimwa Arusha Mjini na Mwanza........sasa huko Dar ni mlenda tu hawana bao tena..............
 
Duh kwa kweli CCM noma yani mmeshindwa bado mnaleta kila zengwe this time Mnyika hawezi kukubali yani yeye awe wa kuonewa na kuibiwa tu..
 
Hawa watu wanatia huzuni sana.... kwao ni hesau za kujumlisha tu... kwetu ni haki ya mtanzania wa ubungo... very sad
 
Duh kwa kweli CCM noma yani mmeshindwa bado mnaleta kila zengwe this time Mnyika hawezi kukubali yani yeye awe wa kuonewa na kuibiwa tu..

Kwenye hali kama hii ujue... hajulikani nani? Je kama CCM ndio imeshinda na Mnyika ndiye analazimisha zirudiwe kuhesabiwa? Ushindi mwembamba siku zote ni shida sana.
 
Kwenye hali kama hii ujue... hajulikani nani? Je kama CCM ndio imeshinda na Mnyika ndiye analazimisha zirudiwe kuhesabiwa? Ushindi mwembamba siku zote ni shida sana.

mnyika kashinda kwa zaidi ya kura 20,000, huon ni ushindi mwembamba?
 
wezi bwana why pote ccm kwenye utata ndo kuna zengwe? kwao ustaarabu mdogo sana! ndo maana wanataka raia tuendelee kuwa wajinga, so hata sera ya elimu ya jk ni uongo mtupu, milele ccm haitopenda raia wafunguke!
 
Kwenye hali kama hii ujue... hajulikani nani? Je kama CCM ndio imeshinda na Mnyika ndiye analazimisha zirudiwe kuhesabiwa? Ushindi mwembamba siku zote ni shida sana.

Angalia vyombo vya habari utajua
 
Ukweli kwa matokeo yalivyo ni ukweli mnyika Kashinda. Nawashauri mlioko Dar fanyeni kama sisi wa Mwanza nendeni makaongezeke huku mjae na mkiendelea kulala basi ngoma imekwsiha na CCM watajitangaza ila wakione wanazidi kumiminika watu watatangaza hata saa 6 haitafika lakini watu wakiwa wachache basi.
 
Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM
Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA:smile-big:
Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses/NCCR Mageuzi
Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM
Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM
Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM):smile-big:
Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)Ubunge:smile-big:

Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM):smile-big:
Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM
Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM
Ubunge Siha (Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA::smile-big:
Ubunge Chato - John Magufuli/CCM
Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA:smile-big:
Ubunge Songea - Dk. Emmanue

Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM
Ubunge Masasi – CUF
Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA
Ubunge Mkinga – CCM
Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM
Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM
Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
Ubunge Kibaha - CCM
Ubunge Kisarawe – CCM
Ubunge Sumbawanga Mjini – CCM
Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM
Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP:smile-big:
Ubunge Mtwara Mjini - Murj
 
Back
Top Bottom