Utaratibu wa kufungua akaunti benki

Nenda bank yyte unayotaka ufungue watakupa mwongozo....bt kumbuka uwe na kitambulisho cha Taifa
 
1. Passport size 2
2. Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa
3. Kitambulisho cha taifa
4. Pesa ya kufungulia akaunti inaweza kuwa 30,000, 20,000, 10,000 au bure kama mjanja wa mjini
 
Nenda Bank unayohitaji, kajieleze watakuambia aina za accounts zilizopo, utachagua unayotaka kwa kushauriana na mtoa huduma kulingana na mahitaji/matumizi yako, kisha atakuambia vitu vinavyohitajika ili kufungua, kama kuna kitu utakuwa huna kwa wakati huo mfano ukiambiwa barua au muhuri wa mtendaji, picha passport size nk basi utatoka kwenda kujipanda na utarudi tena kukamilisha zoezi.
 
Back
Top Bottom