Utaratibu wa kudai demorasia kwa mabavu utalifikisha taifa pazuli ?

ABBY MAGWAI

Member
Oct 4, 2011
22
0
Demokrasi ni jambo la muhumu.katika nchi changa kama Tanzania, mabadiliko ya kisiasa yanayoendelea ni suala lisilo kwepeka.
Nchi kubwa kama marekani na zile zilizoendelea kama za ulaya hazikuibuka ghafla. Mabadiliko tunayoyaona sasa hayajaja ghaflla .Ilichukua muda mrefu, wengi wetu tunadhani mabadiliko ya kidemokrasia huja ghafla,hapa nchini kwetu upo mfumo wa vyama vingi,tangu umeanza hali ya harakati hizi inaanza kutia shaka kwa mustakabari wa taifa.Ziko sehemu njingi duniani ambazo tunaendelea kushuhudia mabavu na kudai haki kunakopelekea vurugu za wenyewe kwa wenyewe hadi kupelekea vifo.(utaratibu wa kudai demokrasia kwa mabavu utalifikisha taifa pazuri)
 
Back
Top Bottom