Utaratibu wa Kubadilisha Jina langu la kwanza kutoka Rashid kuwa Emmanuel

Hiyo doc utayoandaliwa na advocate utatakiwa ukaisajili wizara ya ardhi kwa msajili wa hati
 
wakili gani, na nampata wapi mkuu? Mahakamani au?

nenda mahakamani umuone karani wa mahakama atakupa muongozo mzuri, au nenda kwa mwanasheria yeyote anaetambulika atakupa mwongozo
 
Mimi nipo kilombero, sasa kwenye bvr niandike jina gani? MAANA NDO WAPO KWETU. MSAADA JAMANI

Unaweza kuandika jina lako halis mchungaj kwani process ya kubadisha itachukua muda sana alaf ukose haki ya kupiga kura
 
Sasa mm nimeandikisha jina la emmanuel kwny bvr wakati jina la shule ni rashid. inaweza kusumbua?

Mkuu unanidhalilisha ndugu yako! Hujui wakili anapatikana? Vuta subira mwezi ujao nakuja Ruaha kusalimia, nitakuandalia hizo nyaraka!
 
GreenCity, kama utakuja Ruaha naomba nitafute kwa no 0757856336 AU 0786100772. nataka nibadilishe na benk,ktk vyet badae
 
mm ktk maisha yng cna mpango tena wa ku2mia vyet vya shule kwa sbb nataraj kuwa mchungaj. kwa iyo kuitwa pastor rashid?
 
Sasa mm nimeandikisha jina la emmanuel kwny bvr wakati jina la shule ni rashid. inaweza kusumbua?

Bwana Rashid kama umeweza kujiandikisha bila kithibitisho chochote basi wewe ni tapeli wala huna haja ya kuhangaika. Endelea tu kutumia mbinu hizo hizo utatoboa huna haja ya kupoteza muda na fedha kutafuta deed poll
 
Back
Top Bottom