Utaratibu wa kuanzisha "tuition" ni upi?

Sikufahamu kama sikuiz kunataratibu?,,,,,si unatafuta sehemu ya kufundishia na kuanza kujitangaza? au niko outdated sana
 
Tafuta sehemu tuu then wanafunzi watakuja, ukiwa mwalimu mzuri sifa zitavuma tuu
 
ukiwa mwalimu mzuri hakuna hata haja ya kutangaza.. tafuta wanafunzi hata 5 wape huduma ya kueleweka wengine watakuja wenyewe...

Ila Nina wasiwasi siku sio nyingi mtaambiwa muwe na kibali ya wizara ya elimu na mlipe kodi
 
Washaanza na Mabanda ya kuonyesha mpira! Watahamia ktk mabanda ya twisheni soon
ukiwa mwalimu mzuri hakuna hata haja ya kutangaza.. tafuta wanafunzi hata 5 wape huduma ya kueleweka wengine watakuja wenyewe...

Ila Nina wasiwasi siku sio nyingi mtaambiwa muwe na kibali ya wizara ya elimu na mlipe kodi
 
  • Thanks
Reactions: usy
Back
Top Bottom