Utaratibu wa kuanzisha financial service ya kutoa mikopo

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wana jf

Naomba ushauri wenu naomba kujua jinsi ya kuanzisha fiancial service itakayokuwa inatoa mikopo kwa watumishi wa umma tu. mwenye experience na anayejua changamoto zake anijuze, na ile software ya kutunza kumbukumbu naipataje
 
Kasome sheria za Benk Kuu ya Tanzania zinazosimamia na kuelekeza taratibu za kuanzusha na kumiliki taasisi ya fedha.

Sina hakika sana ila nadhani walibadilisha viwango vya kuanzia(minimum deposits) kwa watu wanaotaka kumiliki taasisi za fedha ndogo ndogo.

Hebu cheki nao, sijapitia taarifa zao muda ningekujulisha ila jitahidi ufike kwao boss au tembelea tovuti yao.
 
Ukiamua kufanya biashara ya kukopesha unatakiwa uwe na roho ngum haswa mtu anakuja na lugha lain akitaka kukopa bt saa ya kurudsha mtataftana apo ujiandae kabsa kwa hilo
 
Kwanza usiwe na kiasi chini ya bilioni (mtaji) kama unataka kuifanya kisheria.
 
Kasome sheria za Benk Kuu ya Tanzania zinazosimamia na kuelekeza taratibu za kuanzusha na kumiliki taasisi ya fedha.

Sina hakika sana ila nadhani walibadilisha viwango vya kuanzia(minimum deposits) kwa watu wanaotaka kumiliki taasisi za fedha ndogo ndogo.

Hebu cheki nao, sijapitia taarifa zao muda ningekujulisha ila jitahidi ufike kwao boss au tembelea tovuti yao.
Nilienda Benki kuu arusha wakasema wao hawausiki na fiancial service walisema wao ni mabenki tu na kama benki tu na unatakiwa kuwa na bil 10 kuanzisha benki
 
Wana jf

Naomba ushauri wenu naomba kujua jinsi ya kuanzisha fiancial service itakayokuwa inatoa mikopo kwa watumishi wa umma tu. mwenye experience na anayejua changamoto zake anijuze, na ile software ya kutunza kumbukumbu naipataje
hela bado zipo! anayesema vyuma vimebana ni nani? njooni mkope!!
 
Back
Top Bottom