Utaratibu wa Kisheria wa mgawanyo wa mirathi

chapangombe

JF-Expert Member
Sep 28, 2014
362
286
sheria zetu za Tanzania zinatambua aina mbili za utaratibu wa mirathi

1. utaratibu unao muhusu mtu ambaye amekufa bila kuacha wosia
2. Mtu ambaye ameacha wosia

Kwa habari ya mtu ambaye amekufa bila kuacha wosia zipo taratibu za kisheria lazima zifatwe
Hatua ya Kwanza ni pamoja na kuitisha kikao cha familia

Hatua ya pili mali,wanufaika.lazima violozenywe kwenye muktasali huo
Hatua ya tatu atateuliwa msimamizi wa mirathi na kikao hicho cha familia
Hatua ya nne yule aliyechagulia atakwenda kupeleka ule muktasali pamoja na kujaza baadhi ya fomu za mahakamani

Mahakama baada ya kupokea watatangaza tangazo Kama Kuna mtu atakuwa na pingamizi
ataliwasilisha Lakini Kama hakuna itamteua huyo

Aliyependekwezwa na kikao cha familia na kuwa msimamithi wa mirathi
 
Itaendelea kwa hatua ya pili
Imeandaliwa na
J.B.SITTA
SAC AND CO ADVOCATES
MAKUMBUSHO STAND
0715742868
0620742868
Ndio imeishia hapo?
 
Ndio imeishia hapo?
Yeah Biashara matangazo mzee
piga namba hizo upate info zaidi na muendelezo jamaa wamesema wapo makumbusho
kwa lugha nyingine nasema ni tangazo tu km yalivyo matangazo mengne
 
Yeye analipia bei gani kufanya promo JF? Kama si ujinga huu ni kitu gani hiki?
 
Back
Top Bottom