Utaratibu wa fao la kujitoa NSSF uko vipi kwa sasa?

Nenda kqtika tawi lako haraka kafungue madai, ukiwa na vielelezo ,mafao ni ndani ya wiki mbili hadi mwezi mmoja, Mimi mwezi ulioisha nimechukua tawi la temeke ,madai nilifungua mwezi wa 6 mwanzoni,nimepata mwezi wa 7 mwanzoni
Tupo wenzio huku NZEGA tumefungua muda umepita na hatujalipwa na walituambia njooni tarehe kadhaa mchukue pesa zenu lakini kila siku ni ngojela tu mpaka unapata mawazo yasiyo na majibu,sijui pesa hizo tunasaidiwa au ni zetu kweli?!
 
waraka tuliouona unasema ukiacha kazi unakaa miezi 6 ndo unaweza kufungua madai yako.wenyewe wanasema kimya kimya ili watu wasije wakapanic ila ukweli ndo huo waraka umetolewa jana
Huo waraka umekuja kukiwa na watu wengine wameshafungua madai na kupewa ahadi ya kwenda kuchukua chaque lakini nao bado wanazungushwa
 
Nilienda Pale oposite na mliman city wakanambie nirud tarehe tatu october.walipokea copy ua kitambulisho cha nssf na copy ya barua ya kuacha kazi hyo ilikuwa 29 August mkuu kama hautaki unaacha.

kiongozi vp ulitia timu leo? feedback ikoje?
 
waraka tuliouona unasema ukiacha kazi unakaa miezi 6 ndo unaweza kufungua madai yako.wenyewe wanasema kimya kimya ili watu wasije wakapanic ila ukweli ndo huo waraka umetolewa jana
Unachoongea ni kweli kabisa, inabidi usubiri miezi 6.
 
Nilikuwa nao juzi wakitoa maelezo wanasema fao la lujitoa halipo isipokuwa wanaandaa fao la kutokuwa na ajira
 
Mambo yote GEPF bana, ukiacha kazi leo, kesho yake timba tu na barua ya mwajiri ya kukuacha, ndani ya siku saba unakula cash yako unasepa, labda litokee tatizo la michango, ila wao fao la kujitoa ni kama kawa.
PPF wamepiga total ban, hakuna kuzungushwa wala nini Unapewa makavu tu, hilo fao hakuna.
Pspf na Lapf hawajitambui ukienda unaambiwa jaza fomu lakini lolote laweza kutokea kupata au kukosa. Duuuh hizo hela kama msaada vile.

TUCTA naona wamesanda kimya.
 
Kuna jamaa yangu kaenda NSSF juzi tu hapa....wamemtosa....hakuna FAO hilo....yan hela yako afu unapewa masharti....only in tz
 
kiongozi vp ulitia timu leo? feedback ikoje?
Nilienda aseee,wamehamia ubungo plaza tumefika wengi pale ghorofa ya sita tukskuta mlinzi anasema tusubiri maelekezo.Yeye mwenyewe hajui kinachoendelea tukaingia ndani ndo wakasema ofc haijaanza kazi labda had alhamis.Mara yule mlinzi akaja anadai tumekiuka utaratibu,moto ulitaka uwake,baada ya wale walokuwa ndani kutusihi ikabd tuondoke.
 
nsssf ukiacha kazj leo.. unaambiwa usubiri miezi sita ipite ndipo uombe mafao yako...

na hapo ndani ya miezi sita wana uhakika fao la kujitoa litakuwa limeshafutwa kabisa na linakuja fao la kukosa ajiraaa...

inshort nssf nao hawatoi ilo fao siku hizi ila wanatumia tafsida ya miezi sita ili wakuchinjie baharini kimya kimya bila makelele
 
asante kwa feedback mkuu.
hii kitu inakera sana.
 
nsssf ukiacha kazj leo.. unaambiwa usubiri miezi sita ipite ndipo uombe mafao yako...

na hapo ndani ya miezi sita wana uhakika fao la kujitoa litakuwa limeshafutwa kabisa na linakuja fao la kukosa ajiraaa...

inshort nssf nao hawatoi ilo fao siku hizi ila wanatumia tafsida ya miezi sita ili wakuchinjie baharini kimya kimya bila makelele
Nami nimesikia miezi 6 toka siku ya mkataba wa kazi kuisha. Sijui kama ni kweli sijaenda tena kufatilia baada ya longolongo nyingi
 
Nenda kqtika tawi lako haraka kafungue madai, ukiwa na vielelezo ,mafao ni ndani ya wiki mbili hadi mwezi mmoja, Mimi mwezi ulioisha nimechukua tawi la temeke ,madai nilifungua mwezi wa 6 mwanzoni,nimepata mwezi wa 7 mwanzoni
Mkuu hebu ainisha hivyo vielelezo kwa faida ya wengi...
 
B
Wakuu poleni kwa majukumu ya hapa na pale katika kujikwamua kiuchumi.
Tafadhali kwa anayefahamu, naomba kujua utaratibu ukoje kwa sasa ili kupata fao la kujitoa NSSF!
Je ni unaweza kuomba kuchukua akiba yako baada tu ya kazi kuisha kwa wenye mikataba ya muda kadhaa?
Bwana fao la kujitoa mimi nina mdogo wangu alikuwa anafanyakazi ya mkataba wa miaka miwili miwili.mwisho wa mkataba akaenda woter front akaambiwa hawatoi mafao kwa sasa kuna mchakato unaendelea kupata maoni ukiisha watatoka jibu. Akaamua kwenda mako MAKUU Benjamin tower kule wakasema AKAE miezi sita kisha aende akafungue madai yake.
 
Kwa hiyo ameshaenda au miezi sita bado?
 
Back
Top Bottom