Utaratibu wa CHADEMA wa kumpigia kura za NDIYO/HAPANA mgombea pekee aliyepitishwa na Kamati Kuu ni wa "Kishamba"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.

Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.

Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.

Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.

Huu sasa ndio USHAMBA!

Maendeleo hayana vyama
 
Wewe ulitaka iweje ili iwe u-mjini na siyo ushamba?.

Maana kwa ushamba huohuo na wewe unalalamika tu wakati hata kuchukua tu fomu uombe kuwa mgombea upimane ubavu na huyo anayekwenda kupigiwa kura ya "NDIYO" ama "HAPANA", hukufanya hivyo.....!

Very funny kuwa unaandaa malalamiko bila kutoa suluhisho la nini tangible kifanyike kwa uonavyo wewe.....
 
We Joni mshamba sana wewe.sasa ulitaka iweje.Unalalamika kutuma mwakikishi na asingeenda mwakilishi ungesema uchaguzi ulipangwa sasa hiyo shida kichwani tufanyaje
 
Kamati kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa Kiongozi na kwahiyo inampitisha.

Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea, kamati kuu inarudisha jina kwa haohao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndio au Hapana.

Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndio au Hapana anatumwa mjumbe " mnene" wa kamati kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.

Huu sasa ndio USHAMBA!

Maendeleo hayana vyama
Mzee awe mvumilivu tu,baregu huoni yupo tu anadunda ,pia kumbukeni chadema nao wanamajasusi..hawa Masai nao wamekua kigeugeu ova hawajawahi pambana na simba kabla hawajaoa
 
Katika kitu cdm wamenifurahisha ni hiyo ya mtu kupigiwa kura ya ndio au hapana hata kama amebaki mwenyewe. Huyu mleta mada ni kwamba kaona ile mbinu ya kishamba iliyowapitisha wagombea wa ccm juzi kwenye ule uchaguzi wa kishenzi, itazidi kudharaulika, hivyo huu uzi ni sehemu ya kujihami. Kwa hili cdm mmepatia pale penyewe, siasa za kishenzi mwisho ccm.
 
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.

Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.

Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.

Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.

Huu sasa ndio USHAMBA!

Maendeleo hayana vyama
Ila ushamba mkubwa zaidi ni ule wa kuengua wagombea wa upande mwingine ili ujitangaze kupita bila kupingwa huku tukijisifia kuwa na demokrasia iliyo bora...SERIKALI ZA MITAA JUU.!!!
 
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.

Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.

Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.

Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.

Huu sasa ndio USHAMBA!

Maendeleo hayana vyama
Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Pole kama ndiye mgombea wenu mliemtegemea basi mmemponza kesho pokeeni mateka wa kusifu na kuabudu.
 
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.

Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.

Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.

Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.

Huu sasa ndio USHAMBA!

Maendeleo hayana vyama
Wewe jiandae kumpokea mamluki wenu atarudi nyumbani muda si mrefu.
 
Hawa ndio tunawategemea watuvushe.... Wanazungumzia ukomo mwenyekiti hata hana dalili ya kuachia kiti!
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.

Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.

Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.

Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.

Huu sasa ndio USHAMBA!

Maendeleo hayana vyama
 
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.

Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.

Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.

Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.

Huu sasa ndio USHAMBA!

Maendeleo hayana vyama
Kumbe ni jimbo basi sawa mimi nilijulishwa kua ni kanda aisee..ahsante kada mwenzangu
 
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.

Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.

Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.

Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.

Huu sasa ndio USHAMBA!

Maendeleo hayana vyama

Ila kura ya ndiyo na siyo bungeni ni ustaarabu?
 
Back
Top Bottom