johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,860
- 141,794
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.
Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.
Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.
Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.
Huu sasa ndio USHAMBA!
Maendeleo hayana vyama