LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Binafsi nawapongeza chadema.kiongozi lazima achaguliwe Na watu.hiyo ndo demokrasia.
No comment kwenye hilo mkuu, japo siwezi pita bandiko hili bila kusema chochote.Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.
Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.
Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.
Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.
Huu sasa ndio USHAMBA!
Maendeleo hayana vyama
Tena ambazo hazina udhibiti wa uthibitisho.Ila kura ya ndiyo na siyo bungeni ni ustaarabu?
Kwenye siasa ukiwa Na roho nyepesi usiingie.kura kuna ndio Na hapana Mkuu.No comment kwenye hilo mkuu, japo siwezi pita bandiko hili bila kusema chochote.
Kama kuna fedheha aliyoipata Waziri Mkuu (10) Frederick Sumaye katika harakati zake za kisiasa Basi kama hii sio namba moja basi haiwezi kutoka kwenye moja Bora, ndio moja Bora kwakua CCM pekee au kuachana na siasa ndiko kunakoweza kumnusuru.
Yaani unasimamishwa na jiwe alafu jiwe linapata kura nyingi kuliko wewe binaadam.
HUU NI UDHALILI ULIO MKUU
Mimi siyo kamanda ila nilijitolea tu kumchukulia fomu Tundu Lisu ya Uenyekiti taifani!Wewe ulitaka iweje ili iwe u-mjini na siyo ushamba?.
Maana kwa ushamba huohuo na wewe unalalamika tu wakati hata kuchukua tu fomu uombe kuwa mgombea upimane ubavu na huyo anayekwenda kupigiwa kura ya "NDIYO" ama "HAPANA", hukufanya hivyo.....!
Very funny kuwa unaandaa malalamiko bila kutoa suluhisho la nini tangible kifanyike kwa uonavyo wewe.....
Hayo ya Kanda ni ya kwako!Kumbe ni jimbo basi sawa mimi nilijulishwa kua ni kanda aisee..ahsante kada mwenzangu
Hiyo ilikuwa enzi za Nyerere!Ndiyo..ndiyo huyu tu
Hapana..... Hapana mwingine zaidi ya huyu.
Hata Sumaye bado ni mshindi tu
No comment kwenye hili, Ila si vyema nikapita bila kusema lolote juu ya kadhia ya Waziri Mkuu (10).Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.
Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.
Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.
Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.
Huu sasa ndio USHAMBA!
Maendeleo hayana vyama
TunaenziHiyo ilikuwa enzi za Nyerere!
Kweli lakini ushindane na Binadam sio JIWE, WALA KIVULI WALA HEWA mkuu inauma sanaKwenye siasa ukiwa Na roho nyepesi usiingie.kura kuna ndio Na hapana Mkuu.
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.
Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.
Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.
Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.
Huu sasa ndio USHAMBA!
Maendeleo hayana vyama
Msiumie, ni demokrasia, kiongozi lazima achaguliwe! Uhuni wa 'kupita bila kupingwa' ni wenu CCM na tume ya uchafuzi
Mwenyekiti wa CCM huwa anachaguliwa vipi!?Hapo ndipo wanapothibitisha unafiki wao uliopitiliza!
Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.
Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga mkono huyo mgombea.
Kamati kuu inarudisha jina kwa hao hao wanachama wasiozidi 80 jimboni eti wakampigie kura ya Ndiyo au Hapana.
Cha ajabu uchaguzi huo wa Ndiyo au Hapana anatumwa mjumbe "mnene" wa Kamati Kuu kwenda kuusimamia kana kwamba kuna shida fulani.
Huu sasa ndio USHAMBA!
Maendeleo hayana vyama
Mwenyekiti wa CCM ni Rais...... Kwahiyo kura inayopigwa pale ni kuikubali Taasisi ya Rais iendelee na Uenyekiti au Isiendelee.Tukumbushane hivi Mwenyekiti wa CCM pale Dodoma alikuwa anagombea na nani vile?
Alipita bila kupingwa au alipigiwa kura za ndio au hapana?
Kama ndivyo hii MADA ni ipimwe hivyo.
Kwa nini unataka mwenzako afanye husichofanya?
Kamnunulie chai mgombea wako kama wapiga kura hawana imani naye...Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha.