Utaratibu wa benefits UK-unyonyaji kwa Wageni?

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
'NO RECOURSE TO PUBLIC FUNDS' ni sentensi fupi tu ambayo inaonekana kwenye visa yangu, na to be frank, sikujali sana kutafuta maana ya maneno hayo miaka mitano iliyopita waliponigongea.Hii sentensi inamaanisha siwezi ku claim benefit, tax credit wala housing assistance. Jamani huu si unyonyaji? Ukizingatia wageni kama mimi tunatwanga mzigo kila siku, tena masaa kibao na kuna mizungu haifanyi kazi kabisa, inaishi kwa kutegemea hizo benefits tu, some of them have never done any paid work in their lives. Ni kama wanakula jasho letu tu, tax tunazolipa makazini ndo walipwa wao, huu nauona kama ubaguzi pia. So so unfair.
 
Aisee kama kweli hiyo sio sawa,bora urudi tu nchini mwako!!!

Mimi kama wengi tulitoka huko nyumbani na kuamua kuja huku-hatukufanya uamuzi huo ili tuje kuclaim benefits, all we want to do is-WORK,WORK.Tunachotaka ni equal rights kwa kuwa mchango wetu kwenye tax ni pengine mkubwa kuliko wa wengi wa wazungu wanao claim.
 
Guys that is what you sacrificed when you left Tanzania. Ingawa hapa hatuna lakini hao wazungu wakija hapa tunawakamua kiasi, ingawa wanaofaidi ni viongozi!
 
'NO RECOURSE TO PUBLIC FUNDS' ni sentensi fupi tu ambayo inaonekana kwenye visa yangu, na to be frank, sikujali sana kutafuta maana ya maneno hayo miaka mitano iliyopita waliponigongea.Hii sentensi inamaanisha siwezi ku claim benefit, tax credit wala housing assistance. Jamani huu si unyonyaji? Ukizingatia wageni kama mimi tunatwanga mzigo kila siku, tena masaa kibao na kuna mizungu haifanyi kazi kabisa, inaishi kwa kutegemea hizo benefits tu, some of them have never done any paid work in their lives. Ni kama wanakula jasho letu tu, tax tunazolipa makazini ndo walipwa wao, huu nauona kama ubaguzi pia. So so unfair.

To my understanding, hii kitu inaonekana sana ukipigiwa muhuri kama wewe ni "visitor" and/or "on transit". Nafikiri ukiwa hapo kama mwanafunzi, au unafanyakazi(legally)utakuwa na right to public funds! Au? Sasa mwenzetu wewe uko pale kama nani? I don't mean to pry, I'm just trying to get better understanding of the concern you have raised! Nisamehe kama nitakuwa nimekuudhi!
 
wenyewe hawataki na kama hutaki kukubali you can always go back to where you came from mate!
 
KanaKansungu,

Inaonekana kwamba wewe bado hujaelewa taratibu za kupata hizo benefits.

Kwa nielewavo mimi ni kwamba unapata benefits zote kama wewe una uraia wa UK au "status" yako ni ile ya "indefinite leave to remain", kwamba uko "settled" hapa UK.

Benefit zote hizo zimeorodheshwa katika leaflet ya Inland Revenue ihusuyo benefits ambazo ni pamoja na child,housing,jobseekers na tax credits.

Unaweza kupata leaflet hii office yoyote ile kama ni London basi nenda pale Stratford-Broadway High Street au cental London pale Warren Street ofisi yao ipo chini ya jengo refu litazamalo Warren Street Station upande wa pili wa Euston Road.

Sasa kwa kifupi kama umekuja UK kukiwa mtalii inabidi usahau kuhusu kupata benefits yoyote ile kwani unakuwa upo hapa kwa muda mfupi na huruhusiwi kufanza kazi yoyote ile ya malipo (halali).

Kama upo UK ukiwa na viza ya uanafunzi basi kuna sehemu fulani ya mafao ambayo inabidi udai pale unapotaka kuondoka kurudi ulikotoka na maelezo yote utapata kupitia website ya HM Customs and InlandRevenue.

Hata hivyo pia kama upo hapa UK ukiwa na viza ya uanafunzi, huruhusiwi kudai benefits yoyote ile iwe child,housing au jobseekers na zingine kama taratibu za kupata hiyo viza zinavosema katika fomu zao za maombi.

Kwa hio kwa kuhitimisha natoa ushauri wangu kwako mheshimiwa kwamba ni pale tu unapokuwa na "settlement status" iwe "indefinite leave to remain" au "British Citizen" ndio utaweza kukaa ndani ya nyumba na kuvuta kila siku moja ya juma.

La unaweza kwenda hapa kwenye link ituatayo na usome zaidi.

http://www.hmrc.gov.uk/individuals/

Kila la kheri.
 
Asante Richard,
Naelewa kwamba siko entittled ku claim hizo benefit kutokana na visa yangu (by the way, im not on a student visa). Kinachonikera ni kwamba mimi toka nimeingia nchi hii 2003 hakuna wiki ambayo nimedunda mzigo less than 40 hours per week, unaona kwamba mchango wangu ni mkubwa sana kwenye tax(almost £2000 per annum) na NI(more than £1000).Kuna wazungu ambao nawajua wanaishi kwa ku claim hizo benefit tu, kazi hawataki kufanya kabisa japokuwa hawana matatizo yoyote ya kiafya.Vijisichana vidogo vinajibebesha mimba tu ili vipate nyumba na kuvuta benefits za single mothers. Anyway, im better off kwa kuendelea na kibarua changu rather than ku claim hizo benefits kwa sasa lakini ingekuwa vizuri kama na mimi ningekua na hiyo 'peace of mind' wakati nafanya kazi yangu nikijua kuwa hata nikiugua au nikufukuzwa kazi naweza kwenda kuvuta hizo benefits kama wao. Ndo maana naona kama im being used kwenye kuchangia huo mfuko tu na siwezi kuclaim eti kwa kuwa si muingereza.
 
Hapo ndipo utajua kwa nini LKJ alisema "Ingland is a Byach" kama hujaisikia hiyo record itafute.

Lakini uzuri ni kuwa hawakulazimishi, tafuta namna ya kuwa raia uweze ku claim benefit au kama la rudi nyumbani.Ukishindwa vyote kufa kisomi tai shingoni, banana nao humo humo na wanyime kivyako utakavyojua katika spending etc, unaweza kutuma remittance bongo watu wakujengee na kukuanzishia biashara halafu baada ya miaka michache unakipa.Haya yanakuwa ni maumivu ya muda tu ambayo ni necesary katika maandalizi ya maisha ya baadaye.
 
No way, hako kautaratibu ka kuwatumia watu hela wakujengee huko bongo kameshaumiza wengi sana walioko majuu. Watu wanakutumia picha za nyumba za watu, kimbembe siku ukishuka!!!. Mara utasikia oo.."bibi yako aligua surua ndo tukamtibia kwa zile laki mbili," au "dada yako alichezwa zile laki tano za matofali tukafanyia shughuli"...Anyway hata kama ningekua na qualify kwa hizo benefits nisingeclaim kwa sasa, kipato cha kazi ni kikubwa kuliko hizo benefits, nilikua tu na raise concern yangu on inequality iliyopo kwenye entitlement ya kuclaim.
 
To my understanding, hii kitu inaonekana sana ukipigiwa muhuri kama wewe ni "visitor" and/or "on transit". Nafikiri ukiwa hapo kama mwanafunzi, au unafanyakazi(legally)utakuwa na right to public funds! Au? Sasa mwenzetu wewe uko pale kama nani? I don't mean to pry, I'm just trying to get better understanding of the concern you have raised! Nisamehe kama nitakuwa nimekuudhi!
Sorry Kisura, I could have done better with the time it has taken me to respond to this. As far as I know, wanafunzi hawaruhusiwi kabisa kuclaim hizo benefits, mimi nafanya kazi na wafanyakazi wengi wenye Limited Leave to Remain pia hawaruhusiwi kuclaim japokuwa wanachangia kwenye tax na NI- ndio maana nadiriki kuiita system nzima 'unyonyaji'.
 
Ndio mkuu,

Yote tisa, kumi ni pale ambapo ni pesa ya wale wasiodai ndio inaliwa na hawa "benefit spoungers".

Kuna kisichana cha miaka 12, hivi juzijuzi kimedai kwamba kiondolewe contraceptives ili kipate mimba na hatimae kipewe nyumba na social services na watu hao wa social services wakakubaliana na kisichana hicho!

Pia kuna msichana mwingine ameelezwa katika gazeti la Daily Mail, kwamba tangu akiwa na miaka 16 amekuwa na mtoto kwa kila mwaka.

Kwa hiyo sasa hivi ana miaka 21 na ana watoto 5 tayari!

Lakini usiwe na wasiwasi kwani sasa hivi kumefanyika bonge la "reform" kurekebisha hali hii ya watu kuvuta pesa wasiotolea jasho.

Itakuwa ni mtihani sana kwa wale watakaotaka kuvuta iwe ni incapacity, jobseekers,housing au taxcredit benefits.

Itabidi waende kwa social services na watakuwa assesed kujua hali yao kiafya na kulinganisha na madai yao kwa kutumia ma-GPs.

Pia itabidi watu wapate mafunzo ya namna yoyote kulingana na kazi anayotaka kufanya iwe ususi au typing au kazi zingine kwa wazazi watoto na watu wazima itabidi wawe na uthibitisho kutoka kwa GP ili kupata msaada.

Kwa ujumla ni kuhakikisha kwamba ni wale wasiojiweza kabisa ndio wanavuta mshiko.

Lakini kama unaweza kutumia mikono kuchapa maneno au kutembea unaweza kufanya kazi ofisini au supermarket au hata Royal Mail.

Tembelea supermarket kama Sainsbury's utaona akina mama watu wazima wamerudi kazini kama part-timers.
 
Hapo ndipo suala la residency na citizenship linapokuja.Wakati kuna watu wanakimbilia UK kama tax haven, wengine wanaona wananyonywa.

Ni kuisoma system na kujua wapi upitie, nobody is going to hand it to you on a saucer, you gotta take it.
 
Kweli huku kwenye banefit system kunahitaji bonge la reform, single mother mwenye watoto wawili anapata hela nyingi kuliko mshahara ninaoupata mimi. Kuna wengine wenye alcohol na drugs addiction ambayo ni matatizo ya kujitakia, lakini hiyo ndo excuse yao ya kutofanya kazi na serekali bado inawapa mihela kibao ili waendelee 'kujiwasha' na wanapewa makazi on top of that!Sasa kituko ni kwamba,as soon as they make a little bit of an effort kwenye maisha yao ie get a job, etc wanalose hizo benefits, sasa unafikiri kwa mtaji huo watakaa wafikirie kufanya kazi?
 
'NO RECOURSE TO PUBLIC FUNDS' ni sentensi fupi tu ambayo inaonekana kwenye visa yangu, na to be frank, sikujali sana kutafuta maana ya maneno hayo miaka mitano iliyopita waliponigongea.Hii sentensi inamaanisha siwezi ku claim benefit, tax credit wala housing assistance. Jamani huu si unyonyaji? Ukizingatia wageni kama mimi tunatwanga mzigo kila siku, tena masaa kibao na kuna mizungu haifanyi kazi kabisa, inaishi kwa kutegemea hizo benefits tu, some of them have never done any paid work in their lives. Ni kama wanakula jasho letu tu, tax tunazolipa makazini ndo walipwa wao, huu nauona kama ubaguzi pia. So so unfair.

Kwa nini unataka benefit? hizi ni sheria ambazo zimepitishwa na bunge lao kwa maana nyingine ni sheria za nchi. Wewe kama ni mgeni unatakiwa uchangie kwenye kodi na NI kwa miaka kadhaa kabla ya kuweza na wewe baadaye kupewa hizo benefit. Ndiyo social benefits hizo ambazo wamejiwekea.

Unapokuja hapa unaingia kama tourist, student au skilled worker kama unatoka nje ya EU. ukiangalia sheria zinasema baada ya miaka kadhaa kama skilled worker unaweza kuomba Indefinite leave to remain ambayo itakuwezesha kupata benefit kama housing etc. utakapofikia miaka kadhaa na kuomba, kwa hiyo hii ni katika sheria tu. Hata sisi Tanzania kama sheria zetu zinafuatwa huwezi kwenda Muhimbili na kutibiwa kwa pesa ya madafu kama MTZ, gharana zako inabidi ziwe juu, vile vile angalia vyuo vikuu wageni wanalipa zaidi ya £ 8000 kwa mwaka wakati wenyeji wanalipa hivi sasa kiasi cha £3000 lakini mwaka juzi kabla ya kubadilisha sheria walikuwa wanalipa kama £1000 tu.

Lisikutishe hilo ndio sababu kila nchi inakuwa na kipaumbele kwa raia wake.
 
Sizitaki Mkuu Dua hizo benefit, ninachoongelea hapa ni kunyimwa hiyo haki sawa eti kwa kuwa tu sisi sio waingereza. Kuna ndugu zetu kibao wa kibongo ambao wameathirika kwa unga, wengine ni wagonjwa lakini hawawezi kuclaim. Wengine wana familia kubwa lakini inabidi wabanane kwenye vinyumba vidogo coz hawawezi pata council houses au nyumba za housing association wala housing benefits. Its not right, its not fair but I guess we have to put up with it.
 
Back
Top Bottom