Utaratibu wa ajira NIDA

gasscan

Member
Dec 3, 2014
39
7
habar wanajF, naomba ufafanus kuhus hawa jamaa mamlaka ya vitambulisho vya taifa nida, je ajira zao zipoje? wengine wapo tempo na wengine permanent je izo ajira zao una apply vip na ue na sifa gan? tujuzane jamn ajira ngum TZnia
 
Kuna demu ni jirani yangu anafanya kama tempo hadi leo namuulizia alivyopata anabaki tu kunichekea.
 
Back
Top Bottom