Utaratibu upi tuutumie kufua chupi Hotelini

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,383
7,909
Jamani nini maoni yenu,

Tunaposafiri, chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe, maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani na mara nyingi zinasababisha fungus sehemu za siri.

Na shida nyingine ni kuqa wengine wanadai kuwa kuwapa watu wa hoteli kufua chupi sio ustaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani nini maoni yenu,tunaposafiri,chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe,maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani,na mara nyingi zinasababisha fungus sehemu za siri.Na shida nyingine ni kuqa wengine wanadai kuwa kuwapa watu wa hoteli kufua chupi sio ustaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisafiri unasafiri na Chupi moja mkuu?

CC Zero IQ
 
hivi una chupi moja Mkuuu? alafu lazima utakua KE..na kwa mwanamke kuuliza hilo swali ni AIBU
 
jamani nini maoni yenu,tunaposafiri,chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe,maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani,na mara nyingi zinasababisha fungus sehemu za siri.Na shida nyingine ni kuqa wengine wanadai kuwa kuwapa watu wa hoteli kufua chupi sio ustaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vema kufua mwenyewe maana ni nguo private

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani nini maoni yenu,tunaposafiri,chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe,maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani,na mara nyingi zinasababisha fungus sehemu za siri.Na shida nyingine ni kuqa wengine wanadai kuwa kuwapa watu wa hoteli kufua chupi sio ustaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Chupi beba za kutosha kutumia safarini, utafua ukirudi nyumbani kwako.
Vinginevyo jock itch itakuhusu. Muwasho wa kuaibisha.
 
Back
Top Bottom