Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 782
- 1,056
Habarini wakuu.
Nataka kuwapeleka vijana wangu, wanafunzi kwa lengo la kwenda kufanya "study tour" DAR ZOO Jumamosi ya wiki hii.
Shida yangu ni kujua utaratibu wao upoje,
Maana'ke ndio mara ya kwanza nataka kuwapeleka,
Pia gharama za kiingilio zipoje.
Mwenye mawasiliano yao naomba unisaidie,
Kwani nimepiga simu na kuwatumia mail kwa Namba na e-mail address kutoka mtandaoni ila haipatikani,
Na Hakuna mrejesho nilioupata.
Natanguliza shukrani wakuu.