Utaratibu kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Private Candidate

Bhujegwe

Senior Member
Nov 23, 2013
135
191
Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi.

Swali linajengwa na hoja hii:
Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa zaidi ya vijana 30 kutokea shule moja ya serikali.

Je,ni utaratibu upi wa kikanuni anapaswa kuupitia?

Je,anaruhusiwa kujisajili kama wale wanaorudia mtihani baada ya kufanya vibaya?

Naombeni ushauri wa kitaalamu ni jinsi ipi afanye.

Nitangulize shukrani!
 
Kama alikua anavigezo vya kusoma advance kutoka kwenye csee anaruhusiwa kufanya mtiani kama private candidate hivyo aende mapema kwenye kituo au shule husika yenye center aliyo ichagua kufanaya mtihan atapata ref no. kisha ata chukua control namba kwenye tovuti ya necta na kufanya malipo kupitia benk,posta au simu (gharama za usajir wa necta ni 50,000 au 65000 ukichelewaa
 
Barikiwa brother kwa ushauri mujarabu. Faster nimshauri aende
 
Back
Top Bottom