Utaratibu huu una athari yoyote kwenye uchumi wetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu huu una athari yoyote kwenye uchumi wetu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mphamvu, Nov 2, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  sisi mabachela huwa tuna mtindo wa kuweka masilver, yaani pesa za sarafu kwenye kabox chumbani kwetu, au kidroo kidogo cha kitanda. yani ukitoka kwenye mishemishe zako, silver zote huwekwa hapo, kesho unaanza na noti zingine. faida yake ni kuwa ile day umefulia ukija kucheki hazina ya sarafu unaeza kuta hata buku 20, afu zinaokoa siku. my question is thata kama utaratibu huo una athari yoyote katika mzunguko wa fedha hence uchumi kwa ujumla!
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa vile sio pesa nyingi nadhani haina impact kubwa sana... Na pia si umesema mara kwa mara unatumia? Kuna watu huku vijijini wanauza shamba worth mabilioni ya pesa alafu wanaweka ndani tu. zinakaa miaka na miaka, hadi siku akifa warithi waje wazikute. Sasa watu kama hawa wakiwa wengi ndio impact inakuwepo kwa pesa hizo kukosekana sokoni, pia kwa pesa hizo kuongezeka sokoni ghafla. Bahati ni kwamba haziingii zote kwa pamoja, zingesababisha inflation.
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Alaa! kumbe? sasa vipi kuhusu micro-economy, hood level ambapo sarafu hutegemewa sana katika manunuzi, kwa makonda kwa mfano, gengeni n.k. hakuna madhara yoyote?
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  mkuu ivi ni vijisent tu, havina athari kubwa katika mzunguko wa hela mkuu.
  Wanaume wengi sana tuna tabia hii nadhani.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kibobo chako kina sh ngapi jamani nije tukivunje wkend?
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  njoo tuvunje changu baby, tangu agosti sijavunja kabisa.
   
Loading...