Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio unaitwa mmomonyoko wa maadili. Haijalishi kama ni kanisani, ofisini au kwenye baa uvaaji huu haukubaliki. Ukijua umevaa suruali ambayo ukikaa ka bikini kako kanabaki wazi, kwa nini usivae blauzi ndefu ya kukusitiri?
Zamani ilikuwa ni aibu chupi ya mwanamke kuonekana hadharani, lakini siku hizi nini chupi, hata papuchi zinaachwa nje nje tu kwenye public.
Tiba