Utaratibu huu mzuri wa Rais Magufuli wa kukutana na makundi ya watanzania kama umewasahau wakulima wadogo

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,220
5,943
Wafanya biashara wakubwa TAYARI
Wachimbaji wa madini TAYARI
1117377

Wasanii na bongoflava TAYARI
Viongozi wa dini TAYARI
WASOMI- WAHADHIRI- BADO ila hawa wameteuliwa sana

WAKULIMA WADOGO WADOGO ZAMU LINI?
1117380
 
Kinoamiguu, WEWE sasa unaleta dhihaka- si akutane naye kama ni kweli aseme mkulima wa korosho mwenyewe
mkulima wa korosho ametapeliwa korosho zake.zihaka ipo wapi hapo. anzia mkuranga mpaka tandahimba hakuna mwenye korosho zaidi ya tani mbili aliyelipwa!
watu wazungumzeje ili mujue kuwa huyo mtu ni muongo?
 
hata akikutana na wakulima wa korosho anakutana na waliopangwa wakapangika! kwani wale aliokutana nao feri jana ni Wavuvi wa kawaida? ama wwuza kahawa?
"Kinoamiguu, tuamini tu mfumo- kwani walipoitwa wasanii walikuwepo wasanii fake?
 
mkulima wa korosho ametapeliwa korosho zake.zihaka ipo wapi hapo. anzia mkuranga mpaka tandahimba hakuna mwenye korosho zaidi ya tani mbili aliyelipwa!
watu wazungumzeje ili mujue kuwa huyo mtu ni muongo?
Wewe ndio mkulima??? Acha habari za kwenye vijiwe vya kahawa
 
Huu n usumbufu tu. Nchi hii hakuna ambaye hajui kuna sera mbovu ambazo sio rafiki kwa watu kufanya biashara...
Kuita makundi ikulu me naona ni kutafuta popularity na politics credit.. Na publicity kwa watu.
 
Wewe ndio mkulima??? Acha habari za kwenye vijiwe vya kahawa
mimi ni mkulima . nimeuza tani 3.6 tangu mwezo nov.sijui hatima yangu mpaka leo.
note .hata wanaokaa kwenye vijiwe vya kahawa pia ni watu kama wewe na mm ndo mana raisi wako / kichakichaa kilipompanda kichaa walimpeleka pale kwenye kahawa kama walivyoqgizwa na yule mganga wa malawi
 
Back
Top Bottom