Dengue
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 2,035
- 1,423
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza viwango vya gharama za wamiliki wa breakdown wanapangiwa na Sumatra au wanaweka wenyewe kiholela.
Inapotokea umepata ajali hawa jamaa huwa wanakutajia bei kubwa sana kwa ajili ya kuvuta gari yako. Na hufanya hivi kwa kukuona umeshachanganyikiwa huwezi patana tena.