Utaratibu gani wa kupata Vyeti vya JKT Makao Makuu?

Moussa21

Member
Jun 3, 2015
52
16
Naomben msaada jaman hivi ukikosa cheti cha jkt (mujibu wa sheria) unapewa barua ili ukachukue cheti makao makuu.Sasa ukifika pale kuna utaratibu gani mpaka upate cheti chako..?? Msaada tafadhali.
 
Ukifika getin uteleza na sio hadi uwe na barua .uwe na forcenamba unapewa cheti chako ndani ya dk 3 pale MMJKT
 
Naomben msaada jaman hivi ukikosa cheti cha jkt (mujibu wa sheria) unapewa barua ili ukachukue cheti makao makuu.Sasa ukifika pale kuna utaratibu gani mpaka upate cheti chako..?? Msaada tafadhali.

Jiandae kuruka kichura pale getini, hahahahaaaaaaaaaaa (natania). Ukifika pale getini huwa hakuna usumbufu, ila tu hakikisha namba yako ya utambulisho umeishika vizuri
 
Ahsanten jaman duuh maana kujikumbuxha vichura tena shughuli nyingne
Hawakawii kusema lilikuwa nanga..halikuiva hili
 
Hakuna hata shinkumi mkuu .ni forcenamba ,pia vizuri ukiwa na majina yako kamili na opereshen kwa urais zaid,karibu MM mkuu
 
Vipi jamani walopitia jkt mujibu wa sheria wakitaka endelea na jeshi utaratibu unakuaje, kwani matangazo ya jkt kujitolea mwaka huu kama umewatoa kwenye utaratibu wa kawaida. Unakuaje?
 
Mkuu kama una barua kitoka kikosi ulichohenyea nenda nayo pale makoa ukiingia pale getini mbele pinda kushoto au ulizia ofisi ya vtc!!ua pale pale getini kuna ma m.p jitambulishe kijeshi kijana pale utapata maelekezo!!!wazi kijana??
 
Vipi jamani walopitia jkt mujibu wa sheria wakitaka endelea na jeshi utaratibu unakuaje, kwani matangazo ya jkt kujitolea mwaka huu kama umewatoa kwenye utaratibu wa kawaida. Unakuaje?
Kweli mkuu ulichouliza japo umeingilia thread ila nivyema tukapata utaratibu wa njia ya kuendelea na jeshi kwa hawa wamujibu, Pia tukafahamu kuhusu hawa wa kujitolea walioko mtaani wakisubiri kuingia makambini mpaka sasa
 
Mkuu kama una barua kitoka kikosi ulichohenyea nenda nayo pale makoa ukiingia pale getini mbele pinda kushoto au ulizia ofisi ya vtc!!ua pale pale getini kuna ma m.p jitambulishe kijeshi kijana pale utapata maelekezo!!!wazi kijana??
Wazi mkuu imeeleweka hyoo.
 
Back
Top Bottom