Ikitokea umejisaidia kichakani kisha mtu akazoa kinyesi chako utapigana nae?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Ikitokea upo mazingira ambayo upatikanaji wa choo ni mgumu, ukaamua kujisaidia kichakani

Ile umeondoka tu unageuka nyuma ukamuona mtu anazoa kinyesi chako na kukiweka kwenye karatasi kisha anaanza kuondoka nacho.

Je utarudi kumuuliza kwanini anafanya hivo?

Na tena ile unarudi ili umuulize akaanza kukimbia nacho kinyesi chako,

Je utamkimbiza?

Kama utamkimbiza ukafanikiwa kumkamata afu ukamuuliza kwanini amechukua mavi yako akakaa kimya bila kukukujibu

Je utamnyang'anya kinyesi chako?

Na wakati unataka kumnyang'anya nae akaamua kujihami dhidi yako

Je utapigania kinyesi chako?

Au utamuachia aondoke na kinyesi chako?
 
kuna watu hamna akili hahahahaha asa mawazo gani haya hahahaha.

out of topic. mie kuna sehemu nilipita nkakuta watu wameshikana mashati mmoja ana mtuhumu mwenzake kumzoa unyayo (alipo kanyaga ) na anataka arudishiwe mchanga wa alipo kanyaga
 
Yaani umeshajisaidia na tayari umeanza kuondoka. Hapo ina maana tayari hiko kinyesi huna haja nacho ndo maana ukakiacha hapo. Sasa kama Mtu ana uhitaji nacho kwa nini ugombane naye?

@Miss Reneee unasemaga me mwehu haya jionee mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom