sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,522
- 7,368
- Thread starter
- #21
nilifikiri namjibu mtu anaejielewa kumbe shabiki maandazi aliyejaa chuki. nna hakika hata nilichokijibu hapo umetoka kapa umekimbilia kuonyesha chuki zakoTuzo za Grammy ziko wapi? Tuzo za Grammy zimekua za kisiasa au hamna uwezo wa kuzichukua hamjafika level hio na pengine hantafika milele kwa miziki yenu hii ya kanyaga kanyaga wazushi kanyaga kanyaga baby ninunulie bando kanyaga kanyaga