Utapenda namna Babutale, Fella na Sallam walivyo professional kwenye kazi yao

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
1,077
2,000
Tuzo za Grammy ziko wapi? Tuzo za Grammy zimekua za kisiasa au hamna uwezo wa kuzichukua hamjafika level hio na pengine hantafika milele kwa miziki yenu hii ya kanyaga kanyaga wazushi kanyaga kanyaga baby ninunulie bando kanyaga kanyaga
nilifikiri namjibu mtu anaejielewa kumbe shabiki maandazi aliyejaa chuki. nna hakika hata nilichokijibu hapo umetoka kapa umekimbilia kuonyesha chuki zako
 
Billions

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,340
2,000
Kama walishindwa kumpa nomination hata moja THE WEEKEND na ALBUMS Yake Kali ya AFTER HOURS pamoja na kibao chake Bora kabisa kuwahi kutokea Cha BLINDING LIGHTS utashangaa DIAMOND PLATINUMZ kubaniwa au RAYVANNY au ZUCHU kukosa...?DAVIDO je amepata GRAMMY au hata recognition so Ni Bora hata WCB waliitwa kwenye hatua za swali za consideration

ACHA KUKAZA FUVU NA MATUSI MSHINDO
Hujajibu swali, tuzo za Grammy ziko wapi ? Za nasibu?

Hatumuongelei davido hapa, tunamuongelea nasibu nyange, tuzo zake za Grammy ziko wapi?

Hatumuongelei the weekend hapa, tunamuongelea nasibu, kwahio sababu the weekend hajachukua kwahio unataka kumfananisha na nasibu nyange ?

Tuleteeni tuzo za Grammy hapa ..bila hivyo nyinyi hanjafika level yoyote ya kimataifa, nyinyi endeleeni kutesa hapa afrika mashariki tu na kati
 
Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,364
2,000
Tuzo za Grammy ziko wapi?? Tuzo za Grammy ziko wapi? Kanye west kunyea au kukojolea haina uhusiano na nasibu kuchukua Grammy..tunataka tuzo za Grammy, eti nasibu alianza kuchukua bet kabla ya burna akiwa local artist , unaumwa mavi wewe , basi kwa staili hio nasibu angekua hadi sasa ana Grammy awards kama mbili hivi, yeye si katangulia? Au rayvany mbakaji angekua na Grammy kama tatu hivi..
Kwani ni uhongo....?au umezaliwa 2010....? Kwani RAYVANNY na BURNA BOY Nani alianza kuchukua BET....?na je DIAMOND PLATINUMZ na BURNA BOY Nani alianza kuwika kimataifa au haujui kuwa 2019/2020 BURNABOY ndo ka rise as a star... ?JE,DAVIDO anayo GRAMMY...?jibu hana ko inaondoa dhana ya kuwa yeye so msanii mkubwa Bali mdogo....??tatizo UNAKAZA FUVU SANA ILA UTAACHIA TOBO
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,892
2,000
Tuzo za Grammy ziko wapi? Tuzo za Grammy zimekua za kisiasa au hamna uwezo wa kuzichukua hamjafika level hio na pengine hantafika milele kwa miziki yenu hii ya kanyaga kanyaga wazushi kanyaga kanyaga baby ninunulie bando kanyaga kanyaga
Mkuu umevuta Kiko🤣
 
Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,364
2,000
Hujajibu swali, tuzo za Grammy ziko wapi ? Za nasibu?

Hatumuongelei davido hapa, tunamuongelea nasibu nyange, tuzo zake za Grammy ziko wapi?

Hatumuongelei the weekend hapa, tunamuongelea nasibu, kwahio sababu the weekend hajachukua kwahio unataka kumfananisha na nasibu nyange ?

Tuleteeni tuzo za Grammy hapa ..bila hivyo nyinyi hanjafika level yoyote ya kimataifa, nyinyi endeleeni kutesa hapa afrika mashariki tu na kati
basi hata wakina FALLY IPUPA,DAVIDO wakikusikia watakucheka sana ,kwahiyo means DAVIDO naye sio wakinataifa kwasababu Hana tuzo za Grammy na je, before BURNABOY na WIZKID hawajapata walikuwa local artist sio...!!!??? BASI WEWE NI UTOPOLO
 
Rayvanny mbakaji na nasibu nyange, wameanza kuwika kimataifa kitambo sana yani sana, wana mituzo ya bet na MTV, sasa kwa mtu aliyewika kimataifa tunatarajia sasa awe ana Grammy kama tano. Ziko wapi Grammy awards za nasibu na rayvanny mbakaji
 
sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
1,077
2,000
Hujajibu swali, tuzo za Grammy ziko wapi ? Za nasibu?

Hatumuongelei davido hapa, tunamuongelea nasibu nyange, tuzo zake za Grammy ziko wapi?

Hatumuongelei the weekend hapa, tunamuongelea nasibu, kwahio sababu the weekend hajachukua kwahio unataka kumfananisha na nasibu nyange ?

Tuleteeni tuzo za Grammy hapa ..bila hivyo nyinyi hanjafika level yoyote ya kimataifa, nyinyi endeleeni kutesa hapa afrika mashariki tu na kati
Mbona umejibiwa vizuri tu ila unaonekana umetanguliza chuki badala ya akili.

Umepewa scenario nzima kuhusu tuzo za grammy. Umepewa na mifano ya wasanii kibao ila umekomaa na Diamond, so it means Davido ni msanii local sababu hana tuzo ya Grammy sio ndio?
 
Billions

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,340
2,000
Mbona umejibiwa vizuri tu ila unaonekana umetanguliza chuki badala ya akili.

Umepewa scenario nzima kuhusu tuzo za grammy. Umepewa na mifano ya wasanii kibao ila umekomaa na Diamond, so it means Davido ni msanii local sababu hana tuzo ya Grammy sio ndio?
Rayvanny mbakaji na nasibu nyange, wameanza kuwika kimataifa kitambo sana yani sana, wana mituzo ya bet na MTV, sasa kwa mtu aliyewika kimataifa tunatarajia sasa awe ana Grammy kama tano. Ziko wapi Grammy awards za WATANZANIA nasibu na rayvanny?
 
Billions

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,340
2,000
ENDELEA KUKAZA FUVU KIJANA MDOGO

Ila ukweli unajulikana na ndo Mana MR.FLAVOUR aliwachana wa Nigeria wamoe heshima kubwa DIAMOND PLATINUMZ the G.O.A.T ko kutokuoata GRAMNY haiondoi dhana kuwa DIAMOND PLATINUMZ ni msanii mkubwa sana AFRICA na tishio hata kwa Burnaboy mwenyewe ko DIAMOND PLATINUMZ na DAVIDO hawaitaji tuzo ya GRAMMY ili kuwa wasanii wakubwa.

ALBUMS Kali sana ya DIAMOND PLATINUMZ iko jikoni inapikwa ikiachiwa naimani hata hao GRAMMY Wataona aibu sana pamoja na wewe mkaza fuvu
Rayvanny mbakaji na nasibu nyange, wameanza kuwika kimataifa kitambo sana yani sana, wana mituzo ya bet na MTV, sasa kwa mtu aliyewika kimataifa tunatarajia sasa awe ana Grammy kama tano. Ziko wapi Grammy awards za nasibu na rayvanny?
 
Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,364
2,000
Mbona umejibiwa vizuri tu ila unaonekana umetanguliza chuki badala ya akili.

Umepewa scenario nzima kuhusu tuzo za grammy. Umepewa na mifano ya wasanii kibao ila umekomaa na Diamond, so it means Davido ni msanii local sababu hana tuzo ya Grammy sio ndio?
Achana nae huyo Ni timu MBILIKIMO NA KIBAMIA
 
Billions

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,340
2,000
Achana nae huyo Ni timu MBILIKIMO NA KIBAMIA
Rayvanny mbakaji na nasibu nyange, wameanza kuwika kimataifa kitambo sana yani sana, wana mituzo ya bet na MTV, sasa kwa mtu aliyewika kimataifa kitambo tunatarajia sasa awe ana Grammy kama tano. Ziko wapi Grammy awards za nasibu na rayvanny? Na hapa tuko Tanzania , tunaongelea ya watanzania, mana mnasema nasibu ni tishio kwa burna. Kwamba flavor alisema wanaijeria wamheshimu nasibu, sasa basi hadi hivi sasa tunatarajia kwenye kabati kuna tuzo za Grammy za kuelezea "utisho" huo kwa burna. Ziko wapi ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom