Utapenda namna Babutale, Fella na Sallam walivyo professional kwenye kazi yao

Basi kikao kimeisha , tumeelewana Diamond Platnums the 🐐 of Bongo fleva ...
Okwaaa

20210322_203743.jpg
 
Nyinyi tuzo za Grammy mtachukua lini, au mnajishebedua kwenye mitandao ya kijamii hamna lolote, Mara Paula, Mara ngono, Mara supa woman, yani upuuzi upuuzi tu, tuzo za Grammy mtaishikia kuzisikia kwenye masikio yenu kwa kujisifu huku Ku handle video ya ngono ya Paula na rayvany
We umeshachukua hiyo tuzo
 
Mii siamini katika uwezo wa hawa jamaa kwa kiwango hicho. Ukiwaangalia hawa mameneja wote ni watu waliofeli katika menejimenti zao huko nyuma. Fella aliishindwa TMK Wanaume Family na ndiyo kwanza ikagawanyika na kumfia mikononi. Ikaja Ya Moto Band. Muangalie Babu Tale, huyu ndiyo kabisa, pale Tip Top Connection alikuwa kama boya tu. Alishindwa kuifanya ipae kimafanikio licha ya kuwa na vichwa vingi vinavyojua. Na huyo Salla mii ndiyo sielewagi. Eti alikuwa meneja wa AY. Tujiulize AY ana mafanikio gani kimuziki zaidi ya kujibrand yeye kama yeye. Kama AY ana nyimbo hits, basi ni za kawaida tu kama akina Belle 9, Juma Nature na wengine wa kawaida ambao wanabahatikaga kuwa na hit.
Mimi kwa uelewa wangu, najua hao wote wanafuata maelekezo ya Diamond. Huyu dogo wa Tandale aliona jamaa wana skills lakini hawajui kuzitumia, so kawakusanya na wote wanafuata vision ya dogo. Ndiyo maana hata ukiwaona wakiwa na Diamond, wanaonyesha jinsi wanavyomuogopa, maana wanajua akiwamwaga hawana future na hawana ujanja wa kumdropisha dogo
Siku moja Rich Mavoko alikua anahojiwa kuhusu yeye Kuondoka WCB, inasemekana Mond yuko serious kupita maelezo yaan inaonekana Mond ndio chief organizer kwenye kila kitu and he is extremely serious, jamaa tunamchukukia poa kumbe anafanya sana kazi, pia naanza kuamini matukio yanayofanywa na WCB mara nyingi zinakuwa orchestrated kama kiki ili waendelee kubaki kwenye mainstream, jamaa hawalali. Ila huyo Mavoko kwa maelezo yake alikua anamkwepa Diamond kutokana na jamaa kuwa serious na kazi all the time hadi jamaa anakosa muda wa kurelax.
 
Mii siamini katika uwezo wa hawa jamaa kwa kiwango hicho. Ukiwaangalia hawa mameneja wote ni watu waliofeli katika menejimenti zao huko nyuma. Fella aliishindwa TMK Wanaume Family na ndiyo kwanza ikagawanyika na kumfia mikononi. Ikaja Ya Moto Band. Muangalie Babu Tale, huyu ndiyo kabisa, pale Tip Top Connection alikuwa kama boya tu. Alishindwa kuifanya ipae kimafanikio licha ya kuwa na vichwa vingi vinavyojua. Na huyo Salla mii ndiyo sielewagi. Eti alikuwa meneja wa AY. Tujiulize AY ana mafanikio gani kimuziki zaidi ya kujibrand yeye kama yeye. Kama AY ana nyimbo hits, basi ni za kawaida tu kama akina Belle 9, Juma Nature na wengine wa kawaida ambao wanabahatikaga kuwa na hit.
Mimi kwa uelewa wangu, najua hao wote wanafuata maelekezo ya Diamond. Huyu dogo wa Tandale aliona jamaa wana skills lakini hawajui kuzitumia, so kawakusanya na wote wanafuata vision ya dogo. Ndiyo maana hata ukiwaona wakiwa na Diamond, wanaonyesha jinsi wanavyomuogopa, maana wanajua akiwamwaga hawana future na hawana ujanja wa kumdropisha dogo
mimi ni nani nipinge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom