Utapenda kumjua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapenda kumjua?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Penelope, Sep 10, 2012.

 1. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Ukigundua mme,mke ama mpenzi wako amecheat,utapenda kumjua ama hutataka kumjua huyo mtu aliyetoka nae?kwa nn?na vitu gani utataka kujua kumhusu yeye?
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  sidhani kama inasaidi sana nikimfahamu,mradi mume/mpenzi amenicheat yeye ndiye tatizo si huyo mwingine so sitapenda kmjua kwani haitanisaidia kurekebisha mahusiano yangu!
  kumjuani pamoja na kunza kujilonganisha nae!hii si nzuri since inazidi kuumiza kwani ukikuta ni wa chini kwa viwango vyako vya ubora utaanza kutafuta mapungufu yako maeneo mengine,ukikuta yuko juu kwa viwango vyako pia utajidharau na kujihisi huwezi kupigania mahusiano/ndoa yako na kubwa zaidi utajustify uzinifu wa mwenzi wako,kuwa alikuwa sahihi!
   
 3. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Me binafsi sicheat, so mpenzi wangu akinicheat natamani nijue katoka na nani kwa ushahidi kabla sijamtema forever..........sijui kama mnafahamu unapomcheat mwenzio NI DHARAU KUBWA SANA
  **********me i don't like it**************
   
 4. salito

  salito JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Bora nisimjue tu ntaua.
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu kibaya duniani, kama kutojiamini pole sana .
   
 6. A

  Aristolicius Senior Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mimi ningependa kumjua ila inisaidie nimjue mpenzi wangu ni wa namna gani,amecheat na ndugu yangu?,rafiki yangu? her ex?her boss? au just nobody inanisadia kujua nitachukua uamuzi gani?
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Si vibaya kumjua, maana itakusaidia pia kumfahamu ni nani aliyekuzunguka kama ni jirani, rafiki, ndugu nk na hivyo ujue namna ya kuishi na kuwakwepa na kutokushirikiana na watu wanafiki wasio na huruma wanaoingilia ndoa yako. Ila kila mtu ana mtazamo wa tofauti juu ya hili!
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Nimechoka . . . . . . . .!!
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nikimjua atanichefua sana ,ila nitataka nijue amenizidi lipi?
   
 10. l

  lila Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani cha kwnza nikijua anacheat ntataka kujua kwa nn na nani?Ntatamani nimuone anafananaje?
   
 11. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Halafu ukikuta anakushinda vigezo vingi utafanyaje? maana ukiamua kula nguruwe chagua aliyenona.
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  yes nitataka kumjua, ili nijue namna ya kumshughulikia hadi aone dunia inazunguka mwezi badala ya jua...... Ila na hubby nae nideal nae mpaka wakikutana wakimbiane
   
Loading...