Utapeli wa SME-Tanzania na wengine

wale wa makumbusho wenye suti na wanaosalimia GOOD MORNING ata jioni wana product ila hz HYIPs weng wanazirun kwenye office/ magheton kwao na wanatumia tu premiumVPN ili waonekane either wapo UK or nchi yoyote hile ya kuaminisha watu na wanaanza kupiga pesa.
Ni Biashara nzuri sana ukiweza kununua Software na kama una mtaji wa kama 5M tu inatosha kulipia kwenye HYIP MONITORS na kuwaonga kidogo ili waseme PAYING basi wazungu kama wote utawapata.
Goodmorning sio Utapeli sema ule Mfumo wao hauwezi fanya kazi Africa labda ishi ka Asia, Wale wana sponsor hadi Machester City sijui, sema Model yao kwa Africa haifanui kazi wana force na hapo ndo utapeli unapo onekana
 
Hao Good Morning ilisababisha nigombane na Rafiki yang wa karibu sana wa kike aliniambie kuna mchongo wa hela nying sana nikafunga safar kutoka mbeya mpaka dar maana wengne tangu tupo sec pesa ilikuwa damuni na uzuri tulisoma Kariakoo ndio kabisaaa.
Kufika dar nikatulia home kesho yake mapema tu nikapanda Gari kutoka mbezi Luguruni mpaka ubungo na kuchukua bajaji mpaka mikocheni km***ke kufika tu nakaribishwa na Goodmorning na hesabu ,a kuwa Millionaire ikaanza sikumwambia chochote ila baada ya kutoka nikafuta namba zake siku hyo hyo alikuja kunitafuta mwaka jana
Hawa ni kama GNLD na wengineo, hawa sio Matapeli sema tatizo kubwa ile Model yao ni ngumu sana, ile Model itakufanya uonekane ni utapeli, Zile Kampuni zipo na zinaendelea kuwepo, kinacho shinda watu ni Marketing Model zao ni ngumu mno, kutoboa ni ngumu sana
 
Hawa PAMA FUNDS walikuwa wanasema wapo USA kwa Obama kabisa daaah kuna mtu nikamwambia jichanganye uone wengne wapo LAGOS tu hapo wanakwambia USA, pesa inatafutwa kwa njia yoyote hile na mtu akaijichanganya mbele yako ni kupita nae tu maana kama watu hawataki kusoma muda wote watoto wa kiume WANALAMBA LIPS TIKTOK na KUBINUA MAT****KO tiktok wafanywaje sasa ngoja NIGERIAN na Wakenya waanyoshe
na wanawanyoshaa Kweli kweli
 
Sasa mkuu mbona hunijibu na zile monitored days kweny scams za HYips zna maana gani??
Wewe ndio umeipromote SME halafu tena inaonekana haujui na haujafatilia, ulipata peaa kwanza? Tena ukaandika watu wakapige hela. Inasikitisha sana, ungefanya jariboo haya LA elfu kumi tu uone kwanza. Sasa watu wakipoteza hela we unapata nini? Now uko busy kuulizia ulizia
 
Back
Top Bottom