Utapeli wa meno ya tembo malyasia;serikali yaambiwa ijirekebishe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Mama mangunga mpaka leo wahusika wako mtaani wanakula kuku
hii aibu mpaka doha mama mbona tunatiwa aibu...na mhusika
mkuu mnamjua mnakaa kimya!!!!
Nakupenda tanzania

serikali ya tanzania imeambiwa ihakikishe usalama wa
meno ya tembo;uhuni uliotokea wa kukamatwa meno ya tembo malyasia imeambiwa ni moja ya sababu walizozuiliwa kuuza meno ya tembo;;;aibu sana kwa taifa kama hili kukataliwa kwa sababu ya utapeli kam huu...
 
Back
Top Bottom