lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,376
- 21,836
Tuusome na kama na wewe ulishatumiwa au kama bado jiandae na ujifunze, usikurupuke kutuma pesa
_______________________________________________________________________
Habari ya kazi,
ile hela inabidi uitume kwenye namba hii 0753515775 jina litatoka HADIJA MELIMELI,usitume kwenye namba yangu imefungwa,simu hazingii wala kutoka
Hawa watu ni kina nani hawa walio na uwezo wa kupata namba karibia ya kila mteja wa vodacom na kumtumia ujumbe wa kutuma pesa, mbona wanajiamini kiasi hiki!

TCRA wao wako bussy na mambo mengine huku wananchi wakitapeliwa na kufanyiwa crime za kwenye mitandao, hata ukiripoti no impact