Utapeli wa kwenye simu, tujifunze wote

Mimi sitapanic lakini wapo wanaojua kupanic tena wapo mijini, an wengine wamo humu humu. TUELIMISHANE ndio jambo muhimu
Apo hujatapeliwa, umejitapeli mkuu. Kutapeliwa ni kudanganywa kisha ukatuma hela na TCRA hawatoshuhulikia hio kesi wala polisi.

Kutapeliwa ni hivi, Unapokea ujumbe wa sms kutoka kwa namba ya mtu unaemjua anakwambia utume pesa kwa namba fulani, ukatuma akisha yule alokwambia utume ukagundua kuwa hakuwa yeye bali imetumika namba yake, hapo umetapeliwa. Na huu mtindo upo, na naamini kuna mtu ndani ya mitandao ndio anaoucheza. Unapokea ujumbe wa namba ile ile ya mtu unaemjua hasa kumbe sio yeye kabisa.
 
Sasa wamekutapeli nini hapo? Ukitapeliwa n Wew utakuwa empty setiiii
 
6260ee07-3a5e-41e6-bd86-c69e9f9623ea
 
Tuusome na kama na wewe ulishatumiwa au kama bado jiandae na ujifunze, usikurupuke kutuma pesa
_______________________________________________________________________

Habari ya kazi,
ile hela inabidi uitume kwenye namba hii 0753515775 jina litatoka HADIJA MELIMELI,usitume kwenye namba yangu imefungwa,simu hazingii wala kutoka

Hawa watu ni kina nani hawa walio na uwezo wa kupata namba karibia ya kila mteja wa vodacom na kumtumia ujumbe wa kutuma pesa, mbona wanajiamini kiasi hiki!
_______________________________________________________________________
TCRA wao wako bussy na mambo mengine huku wananchi wakitapeliwa na kufanyiwa crime za kwenye mitandao, hata ukiripoti no impact
TCRA wako bussy na kina Nandi na michupi yao
 
Back
Top Bottom