Utapeli wa kwenye simu, tujifunze wote

Usitume hela kwa mtu bila kumpigia kwanza ndio unamwambia natuma hata kama namba ni hiyo hiyo.
-Usitume fedha kwa mtu kisa kakutumia meseji,we kausha tu.....Mwenye shida atapiga tu.
 
Huku kwangu niliwatumia spam sms ya kukopi na kupesti ya mpesa nikamtumia huyo chizi.

 
TCRA wako bize kukamata wale wanaomtukana mkulu tu nyinyi wengine mpambane na hali zenu
 
Juzi nimepigiwa simu kabisa na mtu anaejiita afisa Wa uhamiaji.Sijui kapata wapi namba yangu na kajuaje kama ninafuatilia passport
 
Waganga nao wamekua wengi sana walah sijui ndo wanajua watu shida zimekua mingi
 
Mwenyewe leo wamenitembelea
20180522_222734.jpg
 
Namba ?? Ulisahau una Apps za Kubet?? Siuliingiza namba zako huko???.

Alafu wala usidhan wako wengi , ni kikundi cha watu wachache tu , ila siunajua unaweza set ukatuma meseji moja kwa watu zaidi ya 2000??? ...hawa watu niwataalamu wazuri wa kompyuta , wala sio washamba ,wala sio waganga,, niaamin kwanjia hiyo kila siku wanaingiza hela"
 
Back
Top Bottom