Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

Hata Paul Russesabagina alitaka kutetewa na wakili kutoka Ubeligiji alikuja kama mtalii halafu akataka kuanza kufanya kazi mahakamani, wakamuuliza vibali viko wapi wakafukuza Rwanda na kumpiga marufuku ya kurudi nchini humo.

Isije ikawa ni mchezo huo huo wanataka kuufanya for the sake of publicity 🐒
View attachment 1947694View attachment 1947695
Tanzania and Rwanda are two parallel lines.
 
Nenda katika mfumo wa mawakili, huyo tapeli Robert Amsterdam hutamuona, ni njia ya Lissu kula hela za chama na wafadhili,anakula 10%
Mwanzoni nilidhani umekosa tu uelewa, lakini una akili. Lakini unavyojibu hoja za wati, ni dhahiri hukustahili kuwepo kwenye jukwaa hili. Jukwaa hili lilistahili kuwa la watu wenye akili timamu tu, bahati mbaya na ninyi mmevamia.
 
Back
Top Bottom