Utapeli wa Global Church Mission Tz ya Mwanza, Serikali iko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapeli wa Global Church Mission Tz ya Mwanza, Serikali iko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ernest Da Vinci, Mar 9, 2012.

 1. E

  Ernest Da Vinci Senior Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu zang wana JF,

  Kwa masikitko naomba ni wajuze mchezo mchafu uliofanywa na taasisi fulani hivi ya kidini al maarufu Global Church Mission Tanzania.

  Taasisi hii ilibandika matangazo maeneo mbalimbli hasa vyuoni, mashuleni na hata internet ikiwaalika wanafunzi wote wasiojiweza kifedha na kudai kuwasaidia costs masomo yao.

  Mwanafunzi alyehitaji grant hiyo alipaswa kuchangia 25,000/= kama gharama ya application forms na usajili. Waliahidi kuwawezesha wanafunzi husika ndani ya siku 60 tangu watimize mashart ya kuomba. Ofisi yao kwa Kanda ya Ziwa ilikuwa maeneo ya Kapripoint ndani ya ofisi za SIDO, cha ajabu wale jamaa wamelala mbele bila kutoa hyo grant.

  Baada ya utafiti wangu nimebaini serikal inatambua uwepo wa hawa jamaa lakini sidhan kama wanatambua utapeli uliofanywa nao dhidi ya masikini wa Tanzania.

  Serikali kama ipo naomba ifuatilie swala hli kabla watu hawajaleta balaa manake hapa SAUT na kwingineko wamechachamaa pia.
   
 2. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  tangu lini mtu akakupa msaada wa pesa baada ya wewe kumpa pesa???.....hilo ni fundisho tu, next time kuweni makini na matapeli
   
 3. E

  Ernest Da Vinci Senior Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimekubali PingPong,lakn hta na kanisa?Hatkubali,kama co manual bas hta automatically cz bibi yu hayi
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  makanisa karibu yote ni wezi
   
 5. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tuwe macho na huu utitiri wa makanisa na manabii wa uongo, wachungaji n.k.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Usilihusishe kanisa ktk hili,sema matapeli.Pia acha usharobaro!
   
 7. Michael Chairman

  Michael Chairman JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2016
  Joined: Apr 11, 2015
  Messages: 891
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 180
  hapa capr -point kuna ofisi za SIDO ?
   
 8. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2016
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,325
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Kwa muda niliokaa Mwanza sijui Ofisi za SIDO zilipo, labda mleta afafanue Capri Point ipi?
   
 9. mwendakwao chayi

  mwendakwao chayi Member

  #9
  Jun 25, 2016
  Joined: Jul 19, 2014
  Messages: 63
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Ofisi za sido kwa mwanza ziko nyakato
   
 10. m

  mwanansao Senior Member

  #10
  Jun 25, 2016
  Joined: Jul 30, 2015
  Messages: 140
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Huku ni kuandika uhuni uliopitiliza
   
 11. Philipo D. Ruzige

  Philipo D. Ruzige Verified User

  #11
  Jun 25, 2016
  Joined: Sep 25, 2015
  Messages: 4,710
  Likes Received: 5,457
  Trophy Points: 280
  Mtume na nabii phill ruzige natoa msaada kwa wasiojiweza . changia 2000 utapata msaada ndan ya masaa 36... Changia. Kupitia tigo pesa... Ni pm nikupe namba
   
 12. Kansigo

  Kansigo JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2016
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,664
  Likes Received: 1,467
  Trophy Points: 280
 13. W

  Wong Fei JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2016
  Joined: Apr 13, 2016
  Messages: 3,764
  Likes Received: 4,118
  Trophy Points: 280
  siku hiz watu wamegeuka wafanyabiashara badala ya kueneza neno la Mungu.
  Wanahubiri kutoa sadaka kuliko kuokoa nafsi za watu waende mbingun. Eti mjaribu Mungu kwa matoleo. Huu si utapeli. Usipotoa Mungu hawez kukusaidia. Nani ka kuambia?
  Michango mingi mpaka kero mingine unalazimishwa uchangie aliyekuambia nani kuwa mm sina matumiz? Hela zote nitoe church tu?
  Ukiona mtu anahubiri sana utajiri, kuliko kuwahutubia watu waache uovu na wamrudie Mungu wao. Ujue hapo hakuna kitu.
  Watu weng hawajui hili kila mhubir wao wanaenda tu. Kuna wenginw ni ma agent wa shetani.
  "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''
  muhibiri anapuliza tena kwa punz ya mdomo watu km mia wanadondoka km magunia ya mahindi
  Hiz ni nyakat za mwisho tuwe makin sio kila muhibir ni mtumushi wa Mungu
   
 14. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2016
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  When anything sounds too good to be true, it's probably is.
   
Loading...