Utapeli wa CCM ni kama wa Babu wa Loliondo

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Yaani nikimkumbuka Babu wa Loliondo alivyowanywesha mizizi na majani ya pori viongozi wetu mawaziri wabunge wakuu wa mikoa wilaya na wafanyabiashara naishiwa nguvu kabisa.

Hakika ulikuwa ni utapeli wa kiwango cha uchumi wa kati

Alichofanya Babu wa loliondo ndicho hicho CCM inatufanyia Watanzania. Sasa ni miaka 60 bado nchi inahangaika na madawati na matundu ya vyoo. Kodi za ajabu ajabu, eti tozo

Inanunua mandege yanayoitia hasara nchi

CCM inaogopa katiba mpya inawabambikizia kesi wanaoidai aibu kwa chama kikongwe kuogopa Katiba Mpya

JamiiForums-1296448682.gif
 
Back
Top Bottom