Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,596
- 5,787
Leo asubuhi nimeenda kumtumi mtu hela kwa njia ya tigo pesa. Wakala akaniambia kuwa huwa hawatumi pesa, labda aniwekee kwanza ktk akaunt yangu then nitume mwenyewe.
Nilijiuliza kwanini iingie kwanza kwangu ndipo nitume wakati lengo si kuweka ktk akaunti yangu?
Niligundua ninapofanya transaction wanakata 200/= so wakala akituma direct wanazikosa, ila si kuna kiasi wanakata mteja anapotoa hela?
Hii imenikera sana, naona ni wizi mkubwa.