Utapeli tiGOPesa!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,585
5,758
Leo asubuhi nimeenda kumtumi mtu hela kwa njia ya tigo pesa. Wakala akaniambia kuwa huwa hawatumi pesa, labda aniwekee kwanza ktk akaunt yangu then nitume mwenyewe.
Nilijiuliza kwanini iingie kwanza kwangu ndipo nitume wakati lengo si kuweka ktk akaunti yangu?
Niligundua ninapofanya transaction wanakata 200/= so wakala akituma direct wanazikosa, ila si kuna kiasi wanakata mteja anapotoa hela?
Hii imenikera sana, naona ni wizi mkubwa.

mbna unakuwa mbumbumbu wewe ataitumaje direct? Lazma akuingizie wewe na uisikie imeingia ili kuondoa mikanganyko

Ndo utaratibu mkuu! wanaepuka direct transaction ili kuepusha usumbufu utakaotokea pindi muhusika akisema hajapata. Ni rahisi wewe na yeye kuhakikisha kwamba mambo yote yamekwenda sawa palepale maana mnaonana face to face!

Leo asubuhi nimeenda kumtumi mtu hela kwa njia ya tigo pesa. Wakala akaniambia kuwa huwa hawatumi pesa, labda aniwekee kwanza ktk akaunt yangu then nitume mwenyewe.
Nilijiuliza kwanini iingie kwanza kwangu ndipo nitume wakati lengo si kuweka ktk akaunti yangu?
Niligundua ninapofanya transaction wanakata 200/= so wakala akituma direct wanazikosa, ila si kuna kiasi wanakata mteja anapotoa hela?
Hii imenikera sana, naona ni wizi mkubwa.

Kwana anapotuma si anapata message kuonyesha kuwa umemtumia mtu flan, nawe utaangalia jina kama ni sahihi au la!

mzee hapa tunavyoongea voda wamewafungia mawakala kibao kwa kufanya huo mchezo wakutuma direct from wakala..lazima uingiziwe kwanza then ww ndo umrushie mtu wako anaweza kua mkeo/rafik/ndugu n.k.........

Leo asubuhi nimeenda kumtumi mtu hela kwa njia ya tigo pesa. Wakala akaniambia kuwa huwa hawatumi pesa, labda aniwekee kwanza ktk akaunt yangu then nitume mwenyewe.
Nilijiuliza kwanini iingie kwanza kwangu ndipo nitume wakati lengo si kuweka ktk akaunti yangu?
Niligundua ninapofanya transaction wanakata 200/= so wakala akituma direct wanazikosa, ila si kuna kiasi wanakata mteja anapotoa hela?
Hii imenikera sana, naona ni wizi mkubwa.
Acha uongo,labda huyo wakala ndo hajui, mbona mimi jana nimetuma direct kwa mhusika??,wakala kimeo

Lakini mbona kwa mawakala wengine wa Tigo pesa na hata M-pesa,huwa wanatuma direct. Labda tatizo ni kwa huyo wakala na baadhi ya mawakala wengine.

Leo asubuhi nimeenda kumtumi mtu hela kwa njia ya tigo pesa. Wakala akaniambia kuwa huwa hawatumi pesa, labda aniwekee kwanza ktk akaunt yangu then nitume mwenyewe.
Nilijiuliza kwanini iingie kwanza kwangu ndipo nitume wakati lengo si kuweka ktk akaunti yangu?
Niligundua ninapofanya transaction wanakata 200/= so wakala akituma direct wanazikosa, ila si kuna kiasi wanakata mteja anapotoa hela?
Hii imenikera sana, naona ni wizi mkubwa.

Nadhani bado aujaelewa hizi huduma jinsi zinavyo tolewa,nenda kapate darasa alafu rudi tena hapa.
Hata voda nao ni hivyo hivyo.
Ndio maana sasa hivi wanashauri nawewe mtumaji uwe umejiunga na hiyo huduma.

mbna unakuwa mbumbumbu wewe ataitumaje direct? Lazma akuingizie wewe na uisikie imeingia ili kuondoa mikanganyko

nawewe nadhani hujawai tumia huduma hii ya tigo pesa so ungekaa kimya, hilo analolitaka kutuma moja kwa moja inawezekana sana kaka, na hata tigo wanalitambua, sasa kama inawezekana kuniwekea katika namba yangu kwanini ishindikane katika namba nyingine, ngoja nikupe logic behind hapa kaka,

akikuwekea wewe atapata commisions hapo wakala na wewe utapoituma tigo watapata commision, ila akituma moja kwa moja only wakala anapata commisions. SIO TIGO TUU HUO MCHEZO SIKU HIZI HATA M PESA WANAO, VODACOM wanakataza mawakala kutuma pesa moja kwa moja wanataka umuingizie mteja kwanza nae atume.

bongo wizi mtupu??

Mkuu kuna biashara ya usafirishaji wa hela chafu, kwa hiyo ile ni moja ya control. Ili waweze kuwa na kumbukumbu ya mtumaji na mpokeaji ni lazima wewe utume. (ili kubaki na trail)

Lakini mbona kwa mawakala wengine wa Tigo pesa na hata M-pesa,huwa wanatuma direct. Labda tatizo ni kwa huyo wakala na baadhi ya mawakala wengine.

Umewahi kufikir ukituma pesa leo ukiwa mji mmoja halafu ikatokea uliyemtumia hakupata au kakwambia kutokana na sababu fulan inabid azirudishe kwako na wewe umefanya direct deposit ?itabid urud pale ulipotuma mwanzo jambo ambalo ni usumbufu ila angekuwekea kwanza kwenye simu yako wewe ukatuma ikirudishwa itaingia kwako.kwa hiyo kuepusha usumbufu usifanye direct deposit.

nawewe nadhani hujawai tumia huduma hii ya tigo pesa so ungekaa kimya, hilo analolitaka kutuma moja kwa moja inawezekana sana kaka, na hata tigo wanalitambua, sasa kama inawezekana kuniwekea katika namba yangu kwanini ishindikane katika namba nyingine, ngoja nikupe logic behind hapa kaka,

akikuwekea wewe atapata commisions hapo wakala na wewe utapoituma tigo watapata commision, ila akituma moja kwa moja only wakala anapata commisions. SIO TIGO TUU HUO MCHEZO SIKU HIZI HATA M PESA WANAO, VODACOM wanakataza mawakala kutuma pesa moja kwa moja wanataka umuingizie mteja kwanza nae atume.

bongo wizi mtupu??

mkuu nadhani umewaelewesha kitu ninachocomplain.

Mleta thread umepewa majibu mengi tu yenye logic ila unang'ang'aniza jibu lako unalolijua wewe. hata kama inakera sababu ndio hizo hapo zilizotolewa.

Pole, kumbe ulikuwa hujui? me juzi nilikatwa 2000 kwa kuchukua pesa kidogo nilizokuwa nimewekewa M PESA, Nakitamani sana kile kibuyu cha babu nitunzie fedha zangu coz hakuna kimbilio; benki wanatuibia kwa service charges zao, mitandao nayo inaiba vivyo hivyo- HAKUNA HAJA YA KUWEKA PESA ZAKO HUKO!

mbna unakuwa mbumbumbu wewe ataitumaje direct? Lazma akuingizie wewe na uisikie imeingia ili kuondoa mikanganyko
Mkuu hakuna lugha ingine ya kutumia hapo zaidi ya hiyo?
Mi nimekuuelewa vingine sasa!!

Mkuu kuna biashara ya usafirishaji wa hela chafu, kwa hiyo ile ni moja ya control. Ili waweze kuwa na kumbukumbu ya mtumaji na mpokeaji ni lazima wewe utume. (ili kubaki na trail)

Umenifungua macho, asante. Natamani hii kitu iwe vry serious ili isiwe rahisi mijitu kusafisha hela. Ila hata commission inahusika pia.

hii mitandao wanacharge kubwa kuliko bank ni bora mtu utumie benk M pesa ukito laki wanakula 1500 ambayo ni hela kubwa saaaaaaaaaaana

mkuu nadhani umewaelewesha kitu ninachocomplain.

Mkuu, walichokuelewesha wadau wengine ndicho sahihi zaidi kuliko ufafanuzi ambao unaonekana kuu-support. Wakala kukuingizia wewe kwanza ni more safe kwa mteja than otherwise. Mara nyingi sana inatokea pesa inatumwa halafu haijafika kwa mlengwa kutokana na network problem au uzembe wa wakala(ushauri kwa watumiaji huduma za Tigo Pesa au M-Pesa. Mara nyingi unaweza kwenda kwa wakala halafu akakuambia ingiza namba ya wakala ambayo huwa wanabandika ukutani. Mawakala wengi hawaoneshi ipi namba ya wakala wa Tigo au Voda, therefore mara nyingi unakuta mtumaji kwa njia ya Tigo & M-Pesa anatumia namba ya wakala wa M-Pesa na hapo kinachofuata ni full usumbufu. Therefore, wakati unapoambiwa ingiza namba ya wakala, make sure anakuonesha ni ipi hasa namba ya wakala wa mtandao unaotuma). In addition, ukichukua Tigo Pesa, mtumiwa asipochukua pesa ndani ya wiki moja, then pesa inarudishwa kwa sender; so wht will happen kama sender atakuwa ni wakala?! Lakini unapotuma mwenyewe, pesa itakuwa sent back kwako mwenyewe. All in all, hata kama kwa kukutumia wewe wana-pata commission bado njia hiyo ni salama zaidi kwako kuliko hiyo commission wanayochukua unless u're completely 100% risk taker!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom