Utapeli Tarura

Mwanitu

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,036
592
Siku ya jumatatu nili park gari yangu karibu na Air Tanzania.ilikaa ma saa Kama nane hivi.

Wakati wa kuondoka msoma meter akaniletea ticket blank ya Tarura lakini Haina control number.akaniambia control namba haijatoka Ila naweza ipata mtandaoni,na akanitahadharisha kuw a nikichelewa kulipa,kia wiki Salio linajiongeza Mara mbili.

Nimejaribu kuitafuta mtandaoni kwa Namba yao napata null.leo pia ni nul l procedure yote nimeifuata mpaka kuwapa namba ya gari langu hakuna control number.

Wakala ananiambia hawezi pokea hela bila control namba bili kwangu inaongezeka kwa kosa si langu.

Tarula tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom