Utapeli mwingine wa tfda kwa maduka ya bidhaa ;shame kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,494
2,000
Wapendwa katika bwana
natumaini msoma po hili mungu amewaa nguvu yakuona siku ya leo

hawa tfda nahisi wanaendelea kuitia aibu serikali na sijui nani anawalinda kwa hili

jana nikiwa duka moja wameingia wakakuta maziwa ya sma ayaja exp yako safi kabisa

katika tafuta tafuta yao nini cha kukamata waombe hela wakakosa wakaingia kwenye
line ya maziwa ya sma

wakaanza kuyaangalia gafla wakanza kuyaangalia wee gafla wakaamuru kuyatoa

kuuliza kisa eti ayana maneno ya kiswahili....kwenye kopo..huu ni upuuzi na ujinga kama sio upumbavu

hivi bidhaa ngapi ziko dukani zina maneno ya kiingereza tupu na watu wanakula

iweje leo hiiawa wajinga wanadai ati wanataka yenye maneno ya kiswahili

anyway

nahisi njaa zimewazaidi kwa kweli
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,494
2,000
Mbayazaidi

wakawambia wakusanye yote walipomaliza wakapelekewa alfu 50..gafla wakaondoka na manukato yakaendelea kubaki dukaani loh hatari
 

Retreat

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
228
225
Mbayazaidiwakawambia wakusanye yote walipomaliza wakapelekewa alfu 50..gafla wakaondoka na manukato yakaendelea kubaki dukaani loh hatari
Mbona hueleweki? Mara Maziwa mara Manukato??? Which is Which?Tulia uwakilishe hoja kwa umakini.
 

Vinci

JF-Expert Member
Jul 6, 2009
2,642
2,000
Daah.....:A S-confused1:unatuchanganya ndugu...issue ya awali umezungumzia maziwa...ghafla manukato.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom