Utapeli mpya wa vifurushi eti GB 25 kwa Tsh. 5,000. Kuweni makini

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Kuna utapeli mpya umeingia mjini ndugu zangu

Mtu anakuja inbox anakuambia kwamba anaunga kifurushi eti 5000 unapata gb 25 miezi 3!!

Huu utapeli unasambaa kwa kasi sana huko watssap

Inatubidi tuwe makini sana na hawa watu


Screenshot_20201013-184855.jpeg
Screenshot_20201013-195708_1.jpeg
 
Back
Top Bottom