utapeli mkubwa wa mwenyekiti wa serikali za mitaa kimara(CCM) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utapeli mkubwa wa mwenyekiti wa serikali za mitaa kimara(CCM)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Oct 6, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,798
  Likes Received: 2,387
  Trophy Points: 280
  Jamani nin huzuni yangu kubwa kuandika hapa kwa haya mambo amabyo chichiemu imekuwa ikiendelea kuyafanya kwa wanannchi bila kuangalia uwiano wa na madhara yake!!!iweje kila chehemu chichioemu wanatuibia wananchi jamani jamani!!!!!

  Hivi karibuni kumekuwa na zoezi la kwenda kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kuangalia ramani ya nyumba yako kama ipo kwenye system
  ni huzuni yangu kubwa huyu bwana aliamua kufanya dili wakati ni haki ya mtanzania kwenda kuangalia ramani yake ....huyu bwana kwa kushirikiana na mafisadi wenzake diwani ringo hawakuwa na aibu kuaibia watanzania...kila ambae amekwenda pale alitakiwa alipe shillingi za tanzania 2000/=.kuna ambao wamekosa kwenda kwasababu ya uwezo wao..na katika kuwauliza naombeni risiti walisema tunakurudishia ukalipe 10,000 pale wizarani..kidogo haikuniingia...nikalalamika sana kumbe katika sisi wajambanani
  kuna ambao wanakuja hawajui la wala lile wanalipishwa 10,000

  mze mtenga kama unasoma huu huanithi na dhambi hii aitakuacha na familia yako kuwanyima watu wakimara haki zao...
  Huyu mzee alimweka mwanae ndie anakuonyesha na unalipa kwake hela ila kwenye kuonyeshwa wanashirikiana na baadhi wa tu wanajiit a wa wizarani...

  .yesuuuuuuuuuuuuu tuokeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jamaniii


  waliokuja kichwa kichwa na ambao hawajui namba za nyumba zao wanalipishwa 10000 hili swala tunaomba waziri mhusika ufwatilie je ni haki mtoto wa m.kiti serikali za mitaa kupokea pesa za serikali na bila kutoa stakabadhi

  mzee wetu utouh tunaomba utsaidie hapa na kama utaitaji msaada ni pm
  ntakumwagia kila kitu
   
Loading...