Uchaguzi 2020 Utapeli: Mgombea Ubunge atia nia kugombea majimbo tofauti , ni Rorya na Tarime Mjini , kila jimbo na Chama chake

Wajaluo wa Rorya, asili yao Kisumu Western Kenya
Ni watanzania hao tusijaribu kupanda mbegu za ubaguzi; ni kama ambavyo wangoni asili yao ni ni wazulu wa Afrika ya Kusini lakini wangoni ni wa Tanzania. Kuna makabila mengi sana Tanzania ambayo yanaweza kutrace asili zao nje ya nchi; kwa mfano wapemba wengie asili yao ni Oman, wazaramo wengi na wamanyema asili yao ni Kongo. lakini wote ni watanzania.
 
View attachment 1504183

Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka

Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
MTU yeyote anaweza kutengeneza vitu kama hivyo ikiwacanajua kutumia kompyuta. Habari haina naana wala uzito.
 
View attachment 1504183

Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka

Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
du!!!
 
Mmoja kavuta fomu Jimbo mojawapo ktk mkoa wa Pwani halafu kaenda kuvuta mkoa wa Katavi. Wenyewe wanasema rais anateua watia nia wa ccm ama wapinzani wenye mvuto. Ndiyo maana wanategesha majina yao pande zote
Nyie wenye CCM sijui mnauonaje huu mchezo wa mwaka huu? Maana nchi haijawahi kufanya uchaguzi wa maigizo kama mwaka huu!! Eti wabunge waliotoka upinzani kwenda ccm wasipingwe!!?
 
Ila mbona jamaa ana jina la kikenya....... Wakenya wanagombea ubunge Tanzania now days....?!
 
Wewe Bawacha hizi poster hata wewe si unaweza tengeneza? Nilifikiri umeweka video au audio akitamka kutia nia majimbo tofauti na kwa chama tofauti! Hata mimi naweza tengeneza poster ya Mlevi mbowe akitia nia majimbo kumi tofauti na kwa vyama vinne tofauti
Weka tuone
 
View attachment 1504183

Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka

Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
Wapuuzi kama hawa ndio waunga juhudi mchana kweupee tena kwa kutukana walikotoka
 
Back
Top Bottom