Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

Waambie hao wanunuzi waache ujinga wanaponunua kitu dukani wadai risiti tena ya TRA no receipt no business. Risiti ndio shahidi wako mkuu kwenye issue kama hizo
 
Waambie hao wanunuzi waache ujinga wanaponunua kitu dukani wadai risiti tena ya TRA no receipt no business....
risiti ndio shahidi wako mkuu kwenye issue kama hizo
Receipt ni jambo la muhimu sana, ila rafiki yangu walimpa risiti feki zile za kuandika kwa mkono na yeye akaamini..
 
Aisee hii style hata hapa Dar ipo, kuna mtu amelipishwa 1 M kwa njia hiyo hiyo.
Yeye ulinunua simu Kariakoo akaacha Box dukani. Baada ya miezi 6 hivi naye akapigiwa simu aende Polisi kituo kipo maeneo ya Makumbusho. Eti kuna mtu kuibiwa vitu na moja wapo ni simu. Kwenda Polisi anakuta lile box aliloliacha dukani, akajieleza lakini wapi. Risiti tayari ilishafutika maandishi ikala kwake..
 
RESIT PEKEE AISAIDII ANAWEZAKANA AANDIKE NA IME NAMBA KWENYE RESIT NA HUYOMWAMBA ASAINI MYAMALIZE
Waambie hao wanunuzi waache ujinga wanaponunua kitu dukani wadai risiti tena ya TRA no receipt no business. Risiti ndio shahidi wako mkuu kwenye issue kama hizo
 
Aisee hii style hata hapa Dar ipo, kuna mtu amelipishwa 1 M kwa njia hiyo hiyo.
Yeye ulinunua simu Kariakoo akaacha Box dukani. Baada ya miezi 6 hivi naye akapigiwa simu aende Polisi kituo kipo maeneo ya Makumbusho. Eti kuna mtu kuibiwa vitu na moja wapo ni simu. Kwenda Polisi anakuta lile box aliloliacha dukani, akajieleza lakini wapi. Risiti tayari ilishafutika maandishi ikala kwake..
WALE FB WOTE UNAOONA WANAUZA SIMU WENGGNE WAMEJITENGENEZEA NA MAGRP WANAJIITA NUNUA NA KUUZA MWNGINE UZA FASTA WEWEE USINUNUE SIMU KULE UTAZAAA MAPACHA UTATAMAN KWANN COVID ILIKUACHA
 
Nadhani ikiwa mtoa post ana evidence zisizo tia shaka kuhusiana na post yake inayoelezea utapeli.
Ni vema awasilishe Jeshi la polisi au takukuru au usalama wa taifa kwa uchunguzi zaidi.
Ikiwa maelezo alietoa post yatakuwa na evidence toshelezi post hii itashughulikiwa kikamilifu
 
Kweli kabisa tena iwe TAKUKURU, kituo cha polisi anaweza asipate msaada.
 
Nadhani ikiwa mtoa post ana evidence zisizo tia shaka kuhusiana na post yake inayoelezea utapeli.
Ni vema awasilishe Jeshi la polisi au takukuru au usalama wa taifa kwa uchunguzi zaidi.
Ikiwa maelezo alietoa post yatakuwa na evidence toshelezi post hii itashughulikiwa kikamilifu
Ili kupeleka case kama hii kituoni inabidi kuwe na concrete evidences, labda huko TAKUKURU kidogo nasikiaga wanaweza wakaweka mitego yao.
 
Aisee hii style hata hapa Dar ipo, kuna mtu amelipishwa 1 M kwa njia hiyo hiyo.
Yeye ulinunua simu Kariakoo akaacha Box dukani. Baada ya miezi 6 hivi naye akapigiwa simu aende Polisi kituo kipo maeneo ya Makumbusho. Eti kuna mtu kuibiwa vitu na moja wapo ni simu. Kwenda Polisi anakuta lile box aliloliacha dukani, akajieleza lakini wapi. Risiti tayari ilishafutika maandishi ikala kwake..
OMG!
 
Jamani kama unashida na simu na computer used zama ebay mwenyewe au Amazon unavuta kitu safi mpaka raha acheni kupigwa hivi mwishoe unauziwa kitu feki
 
kwanini ujinunulishe vitu vilivyotumika.....?
kwanini ununue vitu kwenye maduka yanayotembea....?
 
Back
Top Bottom