Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
7,940
2,000
Wilfred Massawe Amtapeli waziri wa Ulinzi.

Wilfred Massawe alitafuta namba ya waziri wa Ulinzi na kumpigia simu na kujitambulisha yeye ni Daniel Chongolo katibu mkuu wa CCM.
Massawe alimwambia kua alimtumia kadi ya mchango wa harusi kua dada yake anaolewa huenda kadi hiyo haikumufikia, hivyo alikuwa anaomba kutumiwa mchango huo.
Waziri alimtumia Massawe hela hiyo lakini baadae waziri alikuja kushtuka kua amepigwa ndipo walipo fuatilia wakabaini jamaa huyo si Chongolo kama alivyo jitambulisha na walivyo fuatilia wakabaini Kuwa ni Wilfred Massawe.

My take.
Kama wanao pambana na utapeli wanatapeliwa je, sisi tutasaidika?
 

for life

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
2,670
2,000
Huo ujasiri Sasa ningekuwa mwigulu ningeagiza miamala ya jamaa isikatwe kodi mpka hapo itakapotolewa maelekezo mengine
 

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
774
1,000
Wilfred Massawe Amtapeli waziri wa Ulinzi.

Wilfred Massawe alitafuta namba ya waziri wa Ulinzi na kumpigia simu na kujitambulisha yeye ni Daniel Chongolo katibu mkuu wa CCM
Umakini wa Waziri yapaswa uchunguzwe.

Itakuwaje waziri wa serikali mtu kuwa tu katibu wa CCM hata siku hamjaogea(hamjuani) anakuomba pesa bila kuchunguza mtu unaemtumia pesa jina lake ni la katibu Chongolo, wewe unazituma na zakutolea, hapo walakin upo!
 

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
7,940
2,000
Umakini wa Waziri yapaswa uchunguzwe.
Itakuwaje waziri wa serikali mtu kuwa tu katibu wa CCM hata siku hamjaogea(hamjuani) anakuomba pesa bila kuchunguza mtu unaemtumia pesa jina lake ni la katibu Chongolo, wewe unazituma na zakutolea, hapo walakin upo!
Kweli hapo nae inapaswa achunguzwe asilete za kuletwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom