Utapeli huu unapewa baraka na Serikali za Mitaa?

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
748
365
Moja kati ya Mambo ya kizembe na ambayo yanaashilia watendaji wa serikali za mitaa kutokua na uwezo wa kutambua wajibu wao dhidi ya wananchi ni pamoja na kutojua kwamba kuacha mambango haya yanatapakaa kwenye MITAA yao nisawa na kusema kila mtu ale kutokana na urefu wa kambayake kwamba ukitapeliwa na Hawa watu ni uzembe wa mwananchi lakini ukweli nikwamba Hawa niwezi Kama wezi wengine tu...serikali za mitaa jitathiminini..
IMG_20210726_074011_041.jpg
 
Moja kati ya Mambo ya kizembe na ambayo yanaashilia watendaji wa serikali za mitaa kutokua na uwezo wa kutambua wajibu wao dhidi ya wananchi ni pamoja na kutojua kwamba kuacha mambango haya yanatapakaa kwenye MITAA yao nisawa na kusema kila mtu ale kutokana na urefu wa kambayake kwamba ukitapeliwa na Hawa watu ni uzembe wa mwananchi lakini ukweli nikwamba Hawa niwezi Kama wezi wengine tu...serikali za mitaa jitathiminini..View attachment 1869415
Akina nani mkuu,,funguka, usanue wengine.
 
Back
Top Bottom