Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

Ndio maana nilikuwa naona kama kuna kitu kimemiss huku jf Leo ndio nimegundua alikuwa THE BOLD himself. Asante sana mkuu nasubiria sehemu inayofuata
kwa nn walitarget ndege za Malaysia

je soko la ndege za malaysia zipoje kwa sasa?
 
Wabongo kwa akili mbovu hatujambo.

Yani mtu una quote uzi mrefu namna hiyo alafu sasa cha ajabu unaomba tag.

Daah kweli tunatofautiana akili na uelewa. Shule muhimu sana, ashukuriwe alieanzisha huu mfumo wa elimu
 
Back
Top Bottom