Utaonekanaje kumwambia rafiki yako siri zako na yeye anakuficha siri zake huyo ni rafiki au adui???

Anaona huna kfua km yako huwez fcha unamsmulia yy iweje zake uweze kufcha anahs utasmulia wengn... HAKUNA SIRI YA WATU WAWIL ,LAKO NI LAKO BAKINALO NA YY ABAKI NA LAKE
 
Hakunaga Siri ya watu wawili Siri n jambo u alolijua wewe Na nafsi yako pekee kumshirikisha mwengine so Siri tena Na s lazima ujue Siri zake n maamuzi tu ya mtu
 
ukiona hivyo unachomwambia ni upuuzi coz sio kila siri usema tu unaoneokana mtoto mbel zake...jifunze kutunza siri
 
ukiona hivyo unachomwambia ni upuuzi coz sio kila siri usema tu unaoneokana mtoto mbel zake...jifunze kutunza siri
Naombeni mnielewe namaanisha siri zangu binafsi na siyo siri za watu baki au za wasanii la
 
wewe yawezekana unamuamin sana rafik yako, ndo maaana unampa siri zako. lkn ywezekana ye hakuamin au hapend mtu ajue mambo yake. haina haja ya kuachana naye, marafk hawawwz kufanana kila kitu, na nakuambia huo utofauti ndo unatunza urafiki wenu.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom