Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?