Utaniharibia swaumu yangu

Desteo

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
494
123
"umesikia wewe k@,?§%*=¥¤yo! Una elimu, chogo kubwa lakini huna akili. Mbwa wewe! Hizo tani tatu hakikisha zinarudi we k..........yo!"
halafu baada ya muda akamwambia, "utaniharibia swaumu".
Ni mhindi mmoja leo akiongea, probably na staff wake. Kuna swaumu tena hapo?

hahaha,kuna tafauti kubwa kati ya kufunga na kubadili ratiba ya mlo. kama swaumu inamaanisha njaa, alikuwa sahihi manake anatumia energy nyingi zaidi akiwa kakasirika kuliko akiwa anafanya kazi kwa amani!

ha! ha! ha!.mia

Hahahahahaaa,,,,,,,ndo maana ALLAH amesema FUNGA NI IBADA YANGU,,,,,,kazi kwelikweli

Walimwengu wana mambo. Mchana huo huo kabla ya huyo mhindi, maeneo ya kongo dada mmoja aliyevaa hijabu akiwa kaongozana na mwanaume nikasikia akisema, 'ndio maana nikasema ashakum. Ningekuwa mwanaume ningemuoa yule!" Wakanipita haoo. Nikawa natabasam peke yangu. I wish ningejua chanzo chake

"umesikia wewe k@,?§%*=¥¤yo! Una elimu, chogo kubwa lakini huna akili. Mbwa wewe! Hizo tani tatu hakikisha zinarudi we k..........yo!"
halafu baada ya muda akamwambia, "utaniharibia swaumu".
Ni mhindi mmoja leo akiongea, probably na staff wake. Kuna swaumu tena hapo?

Wanashinda njaa tu.

Kaka kama wewe ni mwana JF, na unapenda JF iheshimike katika jamii, kutokana na michango ya mawazo ya watu wanayoitoa humu, hii thread yako ungeipost katika JOKES/UDAKU+UTANI.

Nasema hivi kwa sababu, kuna watu wanafungua JF kwenye JUKWAA LA SIASA na HOJA MCHANGANYIKO tu, sasa wanakutana na hoja yako ambayo haina tija. Utaonekana huu mtandao wa wahuni.

Hizi stahili zingine sio mkila bann mnalalamika, JF ina kanuni na taratibu naomba uzisome vizuri.
samahani kama nimekukwaza.

abdala nimekugusa wapi tena? Jifunze katika kila neno unalosoma ama kusikia. Mi nimegundua kuwa Mungu yuko mbali sana nasi kama tunaendekeza hayo hapo juu. Wala sio jokes ndo maana nikayaweka hapa. Nikuulize, ni sawa kufunga kisha kuporomosha mitusi? Halafu unazungumzia ban? Hapa nilipo niko kwenye ban

Back
Top Bottom